wadau kunradhi, niliondoka hewani kwa masuala ya kinanihii kidogo wakati mjadala unaendele. ni kwamba mheshimiwa spika ameahirisha bunge kwa leo hadi kesho saa 3 asubuhu wakati mjadala utapoendelea. wabunge kama 50 na ushee wameomba kuchangia na hadi sasa ni 20 tu waliopata nafasi ya kufanya hivyo. na kuzingatia kila mmoja anapewa dakika 15 kuongea hii ngoma itafika mpaka jumatatu, kwa mujibu wa mh. spika. kwa hiyo hadi tunarudi mitamboni ngoma ni 3-0 na majibu toka kwa jk bado yanasubiriwa...
kwa wakati huu naomba tuendeleze libeneke kama kawa.
kwa wakati huu naomba tuendeleze libeneke kama kawa.
JK avunja Baraza la Mawaziri....
ReplyDeleteMWALIMU NYERERE ALIVYOSEMA KWAMBA.."KUNA MHESHIMIWA ANAFEDHA KULIKO UMRI WAKE HIVI ALIKUWA NI NANI NA KAZIPATA VIPI ?.."
ReplyDeleteare you sure kuwa ni 20 waliochangia?wataje mi nimepata 9 tu!!!
ReplyDelete