WADAU GLOBU YENU HII YA JAMII LEO ABUBUHI KATIKA HOTELI YA HOLIDAY INN DAR IMEPOKEA TUZO RASMI YA UTAMBUZI WA HUDUMA ZAKE TOKA KWA BALOZI WA REDDS KWA KUWEZA KUFANYA HIVI INAVYOFANYA. KWA NIABA YENU WADAU MNAOIPA UHAI GLOBU HII NASEMA ASANTE BALOZI WA REDDS KWA HESHIMA HIYO.
HAPO NAPOKEA HIYO TUZO KWA NIABA YENU WADU TOKA KWA BALOZI WA REDDS VICTORIA MARTIN HUKU MENEJA WA REDDS MPELI 'KIONGOZI' NSEKELA AKIPIGA CHABO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Huyo dada ni moto vile kwa nini hukufanya "Mikonozzz"

    ReplyDelete
  2. Hongera sana bro!! Kila mtu aliyeko ughaibuni achange dola 50, tumnunulie Michuzi gari. You bring us close to home. Thanx

    ReplyDelete
  3. Congrats Michuzi!Naipenda sana tu hii blogsite yako na ninaishukuru kazi unayoifanya. Inabidi uwaonyeshe makampuni kama Redds ni idadi gani ya watu wanao visit blog yako kila siku ili upate wadhamini zaidi kwa kuweka matangazo yao kwenye site yako. Pembeni lakini, usije ukatuboa kwa matangazo kuingilia na regular postings zako. Just an idea for you to get extra cash?All the best.

    ReplyDelete
  4. Kiss ulikosa Michuzi. Model kaenda hewani halafu yuko simple. Safi sana mmependeza kinoma.

    ReplyDelete
  5. big up michuzi... u deserve it!!
    tena umepewa na kimwana??? hiyo picha kaweke rum kwako.. teh teh tetee. nilitegemea ungevaa FULANAZZZZZ!!! IMEKUWAJE???

    ReplyDelete
  6. Misupu,

    Hongera kwa kazi nzuri. Blogu inaweza isiwe uzito unaotakiwa, lakini ukweli ni kwamba umekuwa ukitupa habari ambazo inazichukua vyombo vingine vya habari "karne" nzima kutufikishia.

    Nakutakia kila la heri na mafanikio zaidi.

    Mdau.

    ReplyDelete
  7. kaka michuzi na miminataka certificate ya utambulisho ya ku visit blog yako kila wakati ....au unanibania
    lynn

    ReplyDelete
  8. Michu nilishakwambia before, haka ka T shirt kapya ka replace kale kengine, Na kale kengine kapigwe mnada hapa kwenye blog.
    Natumaini ombi hilo litakubaliwa.

    ReplyDelete
  9. Michuzi kwa ujiko na kujipendekeza kwa watoto wazuri hujambo maana hapo umejichekesha sana ingekuwa kaa sio mzuri huyo wa pembeni ungekuwa umenuna tuu na ile fulana yako iliyochoka

    ReplyDelete
  10. Mnh! mona kama nimegundua kitu. Hivi hii fulana ndio jezi mpya? kuwa wazi Bro ili na sisi tukaftue zetu kule guanzhong tuwabane wajasiliamali wa blog hii

    ReplyDelete
  11. well michu hongera saana ila tuu mie im concerned abt afya ya huyo dada jamani kukonda hivyoo sivyo kabsaaa hata kama ni ma modo that is too much!!!!mweee

    ReplyDelete
  12. michu hebu tujulishe ulipewa cheki au maua matupu?

    ReplyDelete
  13. Eroo Mishu!! Sheeee!!! hongera sake yote mi imekupa! Watu nyingine nakosea, sio kwa habari tu, file file tume...., aa sorry labda niseme nimejifunsa fitu nyingi sana kupitia bulogu hii hata sasa ninasema kiswahili nsuri sio kama file mara ya mwanzo mi kuingia humu buloguni. hongera sana.

    nilikuwa kimya kidogo sababu bokisi imekuwa nyingi nabeba sana bokisi sasa hifi lakini tajitahidi kutembelea hii bulogu sana.

    halafu kitu ingine ambia hiyo ndito mi imeslimia yeye mwambie iko ng'ombe hamsini kwa yeye tu. kama ukiambia yeye mi takupa mbusi moja.

    Ashe babalai

    ReplyDelete
  14. Yap..! nachangia hoja ya huyo jamaa hapo juu, kuwa wadau tuliopo ughaibuni tumchangie bwana michuzi pesa ya kununua usafiri. mimi niko tayari kwa hilo.

    ReplyDelete
  15. Michumichu, hongera sana. Huyo sio mtoto wa mjerumani mmoja anaitwa Axcel au Excel kama sikosei? Please nilimuachia watoto wetu wakubwa kuliko huyo wawili nikakimbilia DK(ujana tena)anakaa Mikocheni.

    ReplyDelete
  16. yaan huyo model nimempenda saana yaan sasa angevaa red hapo we angenoga sana yaan hakuna mfano yaan.

    ReplyDelete
  17. Sasa,

    Hiyo ndo Fulana,

    Sio kale kengine kabayaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utafikiri dekio la chooni.

    Kuanzia leo anza kuvaa hiyo badala ya ile

    ReplyDelete
  18. Pongezi Michu. Weka Account yako humu tukugawie $ za box!

    ReplyDelete
  19. Hi Michuzi,

    Congrats And Well Done, You Deserve It Michuzi, I Think You Deserve One From The Bloggers As Well, Au vipi Jamani Michango Hiyo.

    I Always Say 'You Are Blessed' What Your Doing Here I Can Not Explain, Is Just More Than We Expect, Be Blessed Abundantly Michuzi,

    We Are All Behind You, Twaendeleza libeneke,

    ReplyDelete
  20. naomba kwa wana blogi wote tumchangieni michu kwa hali na mali fulanazzzzz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...