hata tubanjuliwe vipi sie hatutotembea peke na bwawa la maini letu. hapa nipo njiani kuelekea a-taun kumalizia kavekesheni kangu maana si zeni wala dar kunakokalika hivi sasa jinsi wadau wa nanihii wanavyonitambia utadhani wameshachukua hilo kombe... na wewe mdau wa gymkhana ujumbe wako nimeupata. ila sie hatuchezei njaa kama nyie, sie bwawa la maini mpira ni tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Bwana Michuzi restaurant hiyo hapo Mombo haina maini ila chips kuku zaidi. Kupata maini hapo labda uwahi saa 12 asubuhi. Labda Wapaite bwawa la kukuzzi

    ReplyDelete
  2. Kwahiyo bush kesho anaenda Atown sio kwenye bunga za wanyamaa nilijua tu

    ReplyDelete
  3. Sasa Mkuu Michuzi mi-naona ungekuja likizo fupi kuungana na hawa jamaa wa bwawa la maini hapa London mpange mikakati,kwasababu Wamarekani ndo-hivyo tena ishasemekana wananunua Hisa Maradufu ndani ya Bwawa!! otherwise siye(Red devels)twapeta tu!!!

    ReplyDelete
  4. Bwawa limegeuka Mtera wakati wa kiangazi.Mnahitaji Richmond!!!Mnabanjuliwa na kila timu.mkitoa droo basi ndio ushindi.Pole mkuu ndio ukubwa.

    ReplyDelete
  5. Bado kina Suazo na Ibrahimovic wanakuja kuwabamba. Kocha amefikia wakati wa kum'rotate'

    ReplyDelete
  6. Michuzi tumeshakushtukia na hizo picha ulizopiga mombo na moshi.wewe umeshindwa kupanda pipa kwenda arusha manake kichaka si anaibuka AR sasa badala yake umepewa sijui lift acha ubahili bwana pipa toka bongo hadi AR sio bei kubwa.

    ReplyDelete
  7. Michu!,
    Salaam zako kwanza, nimekustukia wewe mjanja kama sungura vile! umeona kwa sababu za kiusalama kuhusu nanihii, ukaamua kumkatizia denge!! duh we sio mchezo hata kidogo. Lakini hio ndio yenyewe hiyo, eti; oo ngoja nikamalizie vakesheni yangu!? ha ha ha mradi deni la wadau kama kawa.... ;) si unajua tena :) usimwage kuku wengi kwenye shamba lako la ulezi!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...