hata tubanjuliwe vipi sie hatutotembea peke na bwawa la maini letu. hapa nipo njiani kuelekea a-taun kumalizia kavekesheni kangu maana si zeni wala dar kunakokalika hivi sasa jinsi wadau wa nanihii wanavyonitambia utadhani wameshachukua hilo kombe... na wewe mdau wa gymkhana ujumbe wako nimeupata. ila sie hatuchezei njaa kama nyie, sie bwawa la maini mpira ni tu
Home
Unlabelled
bwawa halikauki ng'o
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Bwana Michuzi restaurant hiyo hapo Mombo haina maini ila chips kuku zaidi. Kupata maini hapo labda uwahi saa 12 asubuhi. Labda Wapaite bwawa la kukuzzi
ReplyDeleteKwahiyo bush kesho anaenda Atown sio kwenye bunga za wanyamaa nilijua tu
ReplyDeleteSasa Mkuu Michuzi mi-naona ungekuja likizo fupi kuungana na hawa jamaa wa bwawa la maini hapa London mpange mikakati,kwasababu Wamarekani ndo-hivyo tena ishasemekana wananunua Hisa Maradufu ndani ya Bwawa!! otherwise siye(Red devels)twapeta tu!!!
ReplyDeleteBwawa limegeuka Mtera wakati wa kiangazi.Mnahitaji Richmond!!!Mnabanjuliwa na kila timu.mkitoa droo basi ndio ushindi.Pole mkuu ndio ukubwa.
ReplyDeleteBado kina Suazo na Ibrahimovic wanakuja kuwabamba. Kocha amefikia wakati wa kum'rotate'
ReplyDeleteMichuzi tumeshakushtukia na hizo picha ulizopiga mombo na moshi.wewe umeshindwa kupanda pipa kwenda arusha manake kichaka si anaibuka AR sasa badala yake umepewa sijui lift acha ubahili bwana pipa toka bongo hadi AR sio bei kubwa.
ReplyDeleteMichu!,
ReplyDeleteSalaam zako kwanza, nimekustukia wewe mjanja kama sungura vile! umeona kwa sababu za kiusalama kuhusu nanihii, ukaamua kumkatizia denge!! duh we sio mchezo hata kidogo. Lakini hio ndio yenyewe hiyo, eti; oo ngoja nikamalizie vakesheni yangu!? ha ha ha mradi deni la wadau kama kawa.... ;) si unajua tena :) usimwage kuku wengi kwenye shamba lako la ulezi!!!