mbunifu wa mavazi fatma amour naye yupo sauti za busara kunadi ubunifu wake. waweza kumtembelea pia kwenye tovuti yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona hujaweka hiyo tovuti yake "tunayoweza kutembelea"

    ReplyDelete
  2. Fatma,hizo pesa chungu mbovu unazozipata kwa kuwauzia wateja nguo zako...sasa mbona hilo tangazo la kijina chako ni cha kuokota tuuu...labda niku'recommend'printing kampani nzuri hapo Dar...iko Samora Av.
    Wahenga wasema...'kila kitu kwenye umbile dhahabu isipokuwa sehemu za mfereji...shaba'!!!!

    ReplyDelete
  3. MCHUZI SASA IKOWAZI MAJENGO TUNAYO YASIFIA TOWN VYANZO VYAKE NI BILL ZETUWENYEWE ZAUMEME.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...