rais george w. bush wa marekani alipowasili dar jioni hii alikagua gwaride akiwa na mwenyeji wake na kuburidishwa na ngoma za kitamaduni kabla ya kuelekea mjini



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Misupu, hii picha umeipiga ukiwa mbali sana, ni ulinzi nini?. Manake Duh, lakini poa nawe utasema ulipiga picha ya Kichaka. Pia tuoneshe suti yako ya leo, manake mlipigwa mkwala kuvaa kama mlivyozoea.

    ReplyDelete
  2. do hata JK nae amependeza, sasa michu mbona sioni kama una ushirikiano na hao ,maana naona Bush peke yake na Jk pEKE YAKE au mlitishiwa kwamba msipige picha mbona suti yako ilitulia sana ...jamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...