Home
Unlabelled
ujio wa bush
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DUU HUYO MBWA INABIDI ALE DOZI YA MARALIA I'M SURE ATARUDI NAYO
ReplyDelete"...HATA NYUMBANI KWAKO HAKUNA MGENI ASIYE NA KARAHA"
ReplyDeletewewe unazania alienda hivyo hivyo?
ReplyDeletehivi ni mwaka gani ule alikuja michael jackson akageuzia uwanjani...nakumbuka hiyo japo sikumbuki ilikua lini
nani kakwambia duniani hakuna MUNGU,huyo bush security yake katika ziara ya africa imegharimu the equivalent of the annual GROSS DOMESTIC PRODUCT ya bongo.hao security posse yake,wanafuata amri moja kwa moja toka langley,ambapo coordination commandpost ya ulinzi wake ipo,huko langley staff mia tano with all leave cancelled,kwa kutumia satellaite tatu ambazo kwa sasa ziko in international skies over tanzania wanamonitor movements zake na ku x ray everyone,hiyo airforce one ina uwezo wa kujam communication zote tanzania,ina state of the art medical facilities,usishangae kuona lift au electronic gates zinajifungua zenyewe.usishangae kuona wanyama wanakuwa restless kwa sababu ya mionzi ya monitoring inayotokea kutoka kwenye hizo satellaite,when push comes to shove,wakihisi kuna hatari,commandpost langley at the push of a button,mchana wanaugeuza usiku na kumuondoa mtu wao kwenye hatari
ReplyDeleteMy tax going home ooooooohye thanks Bush
ReplyDeleteeehee we anany wa hapo juu noma , naona umesoma ile novel ya dan brown alietunga da vinci code jina nimelisahau ana novel moja ndio ina mambo hayo kama ya hiyo langley na nini !! acha logi zako and to be honest we dont give a monkeys !Yaani wewe bwana unajiamini sana wewe hizo data umezitoa wapi ? usije ukasema tuu unafanya kazi langley mlinda geti ? na Mchana wa jua la bongo ambalo ni free kutoka kwa Mwenyezi Mungu muumba wao watawezaje kuugeuza usiku ???
ReplyDeleteAnyway mie hapa nilikuwa namuandikia kaka michuzi nimwambie tuu hongera sana mana na kazi yote hii nzito unayoifanya ya kututengezezea blog yetu 24/7 bado una muda wa kuangalia 24 !!!
Wewe wa tarehe Sunday, February 17, 2008 12:35:00 AM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous, usijifanye mjuzi!
ReplyDeleteKuna tofauti ya ulimzi na usalama wa vyomb vaya SS (secret service) na CIA yenye makao makuu Langley!
HILO JIBWA NI LA MICHAEL VICK MCHEZAJI WA MPIRA FALCON-ATL
ReplyDeleteanon wa 12.35 umesahau kwamba hizo gari alizoshuka nazo zinaweza kusurvive a nuclear blast,na akina mama wajawazito si vizuri kuusogelea huo msafara kutokana na mionzi ya monitors zilizoko kwenye satellait,unaweza kuzaa albino.katika airforce one kuna PLASMA yake in case of emergency,na base ya diego garcia iko on standby.yaani tanzania sasa hivi iko what we call in militay terms TOTAL WATCH
ReplyDeletebasi wabongo kwa kushangaa...waone walivyojipanga kwenye fensi,wanashangaa ndege,uwiii aibu!!!
ReplyDeleteAnon Sunday, February 17, 2008 12:35:00 NYIE WABONGO WAONGO SANA YAANI NDIO ZILE STORY ZA VIJIWENI KABISA WEWE ULISHAFANYA KAZI HUKO LINI AU ULIZIONA WAPI LIVE HIVI VITU VYA KUHADITHIWA BWANA HAWAWEZI KU DISCLOSE KILA KITU WATU WAJUE SASA USALAMA UTAKUWA WAPI ALTHOUGH KUNA VITU VINGINE VINAONYESHWAGA KWENYE DOCEMUNTARY ILA WEWE UMEZIDI KAMBA HILO RUNGU TUME KWEPA OHHHHHHH
ReplyDeleteDu!!! we Anony wa feb 17,2008,12:35
ReplyDeletenimekukubali we mwanangu muongo kishenzi huo uongo unatakiwa ukawadanganye watu wa kijijini ndio utawakamata ila sio hapa
Mh, michuzi, huyo Jack wa Ukweli au kuna Jack Bauer mwingine wa Mbezi?
ReplyDeleteSam
Michuzi,
ReplyDeleteHuyo mbwa/dogi ana jina na cheo. Ukute ni Sajenti Edward, au Major John au Kanali Michael. Ungepata na jina lake. Tena hii ziara inaingia kwenye CV yake. "Sniffed out the J.K. Nyerere airport in Africa"
Kwakweli mi nimeipenda ya Jack bauer kama kweli vile
ReplyDeletetehe tehe teheeeeee
jack bauer...? hapo umenikosha sana jamaa anatisha unaweza usilale ukianza kuicheki, mchuzi huwa unaangalia saa ngapi? na kama umemaliza seasons zote nadhani imekuchukua mwaka na nusu
ReplyDeletehaaa haa haa nimeipenda hiyo ya jack bauer khe kumbe kaka michuzi upo up-to-date eh? hadi series hizo unaangalia ujo juu sana, haya kaa mkao wa kula: 24 season 8 ipo njiani.......
ReplyDeletewee anony wa monday 1:28 usimdanganye michuzi 24 haijafikia season 8, ndio kwanza sasa hivi inatengenezwa season 7 ya mwisho kuangalia sie season 6, inaonyesha wewe tupo wote hapa bongo tunategemea wadosi watengeneze feki tununue kwa alfu 3.
ReplyDeletewadosi namba sita kwa sababu ni ndefu sana wameigawanya nyengine wameipa season 7
Aisee hapo kwa Jack Bauer Brother Mich. umenimaliza kichizi yaani kama kweli maana namzimia mshkaji kichizi na hiyo series yake. 24 sasa inakaribia kutoka season 7 ambayo nilisikia inaweza kuche;lewa kidogo maana Jack Bauer alifungwa nafikiri siku 14 jela kwa kosa la kulewa kupita kiasi na kuendesha gari. Inaelekea jamaa cha pombe nini?
ReplyDelete