leo jumba moja kuukuu lililopo mtaa wa samora liliporomoka na kujeruhi vibaya watu watatu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi hapo unanichanganya unasema jengo limeporomaka,wakati taarifa ya habari ya chanel ten imesema limebomolewa na tena bila ridhaa ya wahusika,sasa nani mkweli?

    ReplyDelete
  2. Saruji babu ndogo!mchanga hafifu!utaalamu...sifuri!Tunasikita kuporomoka ghorofa hilo ambalo limewajeruhi ndugu watatu,lakini ni ni uwakilishi wa hali ya maisha hapo nyumbani,kila kitu ni 'short cut',hatuna tena unyofu wala ile ari ya ukweli ndio maana tumenaswa na nafsi...sijui lini tutajifunza,by the way je tutawaleta hao wenye hatia mahakamani???SIDHANI...

    ReplyDelete
  3. Bw. Michuzi hilo jengo halijaporomoka. Limebomolewa. Cha kushangaza hawajawahi kutoa notisi watu wahame. wametoa notisi ya nusu saa tu. Walichofanya hao wabomoaji si haki.

    ReplyDelete
  4. limeporomoka wewee.. watabomoaje na watu waumie??

    ReplyDelete
  5. Walioumia ni hao wabomoaji na si wapangaji wa jengo lile.

    ReplyDelete
  6. bwana michuzi mimi ni mmoja wa waanga wa jengo hilo..jengo haliku poromoka lenyewe..LIMEBOMOLEWA!!!
    Notes imeandikwa tarehe 18/01/2008 wakaja nayo tarehe 1/02/2006 na kuibandika hapo hapo na kuanza kubomoa..

    ReplyDelete
  7. KWA KWELI HILO JENGO LILIBOMOLEWA BILA KUFUATA TARATIBU ZOTE AMBAZO NI PAMOJA NA KUTOWEKA ALAMA ZA KUONYESHA HAPA NI HATARI KUNA UBOMOAJI WA NYUMBA PILI HILO JENGO HALIKUTAKIWA KUBOMOLEWA KIHOLELA LILITAKIWA APEWE MTU MWENYE VIFAA MAALUMU VYA UBOMOAJI SIO KUBOMOA TU NA NYUNDO. LINGEWEZA KUSABABISHA MADHALA MAKUBWA ZAIDI YA HAYO KWANI WATU WALIKUWA WAPITA HAPO BILA KUJUA KUWA LINGEWEZA KUANGUKA SAA YOYOTE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...