wachezaji wa timu ya taifa ya kameruni wakifurahia bao moja kati ya matatu waliyoifungatwiga staa neshno jioni hii na mpira umeisha. bao la kwanza lilipatikana kipindi cha kwanza na mawili yakaingia dabo dabo kipindi cha pili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sio ajabu sie kufungwa kila siku...naambiwa tunajulikana kwa jina 'perenial losers'...Maajab yatatokea wakati kwa bahati mbaya tutashinda!!!

    ReplyDelete
  2. Hivi nani anakagua na kuthibitisha timu za wanawake kuthitisha kuwa ni kweli wanawake ni si wanaume? Hivi kuna mtu anawafunua kuhakikisha?

    Nasema hivi sababu mpira waliocheza kameruni unaona kabisa kama timu yao walikuwa wanaume ya kwetu ndiyo ilikuwa na wanawake.

    Kameruni ni taifa la Afrika magharibi kulikojaa matapeli isije kuwa walileta timu ya wanaume kupambana na wanawake?

    Kama hakuna mtu anayefunua mtu kuona kama mchezaji ni mwanamke au la kwenye hii michezo na sisi tuwape magauni na vifuu vya nazi wanaume wavae na sidiria kama matiti tuwapeleke kameruni mechi inayofuata ikapambane.Uhamiaji wawape Pasipoti zenye majina ya kike na picha zao wakiwa na ushungi kichwani halafu tuone kama watatufunga tena maruhuni hawa!

    ReplyDelete
  3. Tena yule mwenye nywele za rangi kichwani Mhuu! Isijekuwa tumechezwa shere! Haya wee. Lakini wenzetu mpira wa wanawake wameanza siku nyingi sie bado tunatambaa. Tusikate tamaa, kwani ndio mchezo,kikubwa ni kujiandaa na tusitegemee kupata mafanikio wakati ndio kwanza tunatambaa, inabidi tujipange upya na kujifunza kutembea kabla ya kuanza kuwakimbiza wanaokimbia.

    ReplyDelete
  4. anon hapo juu umeongea, tena kweli kabisa inabidi kuwe na mtu anayewafunua tena sio kuangalia matiti tu,wanawake wengine wako flat kama nani hii hapa! inabidi kuwafunua kuangalia vipapa bondeni huko azawaidhi utaona watu wanapiga majalo utafikiria thiery henri sisi tunashangaa tu! ebo dunia ishakwisha hii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...