napata baga na mdau beda maeneo ya vuga huku libeneke likiendelea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michu wapenda Pilipili weyee!!,naona kachupa ka Tobasco hapo!!

    ReplyDelete
  2. Anko michuzi burger ailiwi hivyo.... hapo unakula mkate peke yake na nyama peke yake na kabichi pekeyake... inatakiwa kuliwa vyote kwa pamoja...
    dogo

    ReplyDelete
  3. Na hizo tabia zako za ulevi...mbona brekifasti hii haina laga!!!huwezi ukalewa na chai!!!

    ReplyDelete
  4. FULANAZZZZZZ!

    ReplyDelete
  5. dah kaka michuzi na hako ka fulanazzzzzzzzzz.....inatalii kila sehemu....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...