msome masoud ali a.k.a kipanya a.k.a kp kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 50 mpaka sasa

  1. KP Mbona macho mekundu kama unaumwa Nairobi Red Eyes?

    ReplyDelete
  2. Macho mekundu kwa kuumwa Nairobi Red Eyes au anavuta bangi ??? Inawezekana anavuta bangi, maana asinge waita wenzake 'Beast'

    ReplyDelete
  3. Keep up brother, mimi nimshabiki wako no 1
    mdau
    R,dam Holland

    ReplyDelete
  4. sio red eyes ni BANGE!

    ReplyDelete
  5. sio red eyes ni BANGE!

    ReplyDelete
  6. Michu..hebu mpeleke kule ulikoenda jiweka sopsop wewe...naona kaweka uchafu usoni....halafu ndevu mbayaa.. unaita wenzio the beast


    MWTYM

    ReplyDelete
  7. OMG! kumbe up close nae ni beast!

    ReplyDelete
  8. IMF optimistic about Africa development prospects

    2008-02-19 10:11:54
    By Theo Mushi


    A recent report published by ``IMF Survey`` has revealed that growth in Sub - Saharan Africa is expected to hit 6.7 percent in 2008. It has divided African countries into four categories. These are oil producers, middle income countries, low income countries and fragile economies.

    Each of these has separate economic forecasts and oil producing countries are expected to grow at 10.6 percent while middle income countries will achieve 4.2 pc growth rate. For low income and fragile countries the projected economic growth rate is 7 per cent and 5.5 pc respectively.

    IMF notes that Africa has been experiencing the lowest inflation rate and the strongest growth, thus expansion of economies has been attributed to rising productive in oil exporters and strong domestic investment.

    Other contributory factors are the progress in macro-economic stability and reforms and strong demand for commodities has also contributed to high economic growth rate in Sub-Saharan Africa (SSA).

    Other factors which have contributed to strong growth rates in Africa in recent years are increased capital flows and debt relief received under HIPC.

    Average inflation rate is expected to drop further for oil producing counties and this is due to stabilization gains in Angola and Nigeria. Middle income countries will experience an inflation rate of around 6.5 percent.

    For low income countries, the inflation rate may drop due to an increase in food supply and the fait that monetary policies will check out inflation expectations and the effects of higher fuel prices.

    It is noted that in fragile economies which are experiencing political strife and civil wars inflation will remain high with large differences among the countries.

    It has been asked if SSA can sustain high economic growth rates. It all depends on how to use higher incomes to accelerate socio-economic development.

    The future of the economies of sub-Saharan Africa depends on continued structural and institutional reforms to increase productivity.

    There is a need to strengthen resilience of African economies to shocks and these include volatile terms of trade, weak institutions. There is a need to create favourable climates to attract investment in non-commodity sectors.

    There are in perceived risks to Africa growth prospects and the Regional Economic Outwork is positive but is clouded by external and internal risks.

    For East Africa growth prospects have been adversely affected by the political crisis in Kenya which has been the hub of economic growth in East Africa.

    There are four landlocked countries which use Mombasa put for their exports and imports.

    These included Uganda, Rwanda, Burundi and Eastern Democratic Republic of Congo (DRC).

    Most of the tourists who visit Tanzania Mainland and Zanzibar land in Kenya first and then proceed to Tanzania.

    The original target was to receive 1 million tourists by 2010 but this may not be achieved.

    Tourism is now the third important contributor to foreign exchange earnings in Tanzania as USD600million was realised from tourism in 2006/7.

    Tanzania is enjoying zero tariffs for it?s to exports to Kenya under the East African Customs Union framework. But the post election political crisis means the window was no longer stable.

    There are threats to the Tanzanian economy whose growth rate is projected to be over 7 percent and inflation rate of five percent.

    ReplyDelete
  9. Hivi yale mashindano ya sura mbaya yaliishia wapi??

    ReplyDelete
  10. Huyu mtoto mi naona ana matatizo ya kisaikolojia.....sio bure kabisa!!!!

    ReplyDelete
  11. Huyu mtoto mi naona ana matatizo ya kisaikolojia.....sio bure kabisa!!!!

    ReplyDelete
  12. Aroo! Kwenda kanunue rikichanuo ujitengeneze nywere zako zote, ara!

    ReplyDelete
  13. KP...You Rock! I am a big fan of yours and I trully enjoy your work. Keep it up brother.

    ReplyDelete
  14. Mbona KP anafanana na PINDA WAZIRI MKUUU? au ni ndugu yako?jamani undugu kufaana sio kufanana..asanteni

    ReplyDelete
  15. Nimewastukia wote mnaomponda KP ni wale mnaojitahidi kumfikia alipo ila mnashindwa!! poleni sana, KP yuko juu kinoma, na hakuna anayemshukia zaidi ya nyie wenye akili chafu, wote nyie mafala mnaomponda!! nyoooooo...mtakufa na kijiba cha roho babu!! Red eyes nani hajazipata bongo? KP kamua baba...watakoma na viroho papo vyao!! KP matawi ya mu-ashock!!!

    ReplyDelete
  16. mbona macho amerembua sana.inakuwaje hapo?

    Maalim Abuu,

    Lamu

    ReplyDelete
  17. Hauna mvuto ...

    Hatuji dukani kwako.

    Hatusikilizi kipindi chako cha redioni.

    ReplyDelete
  18. Na nyie nanyi mna magubu jamani kama wanawake wa kikaguru..kitu gani kisichoisha? au wengine mnatumia katuni ile kutoa machungu yenu baada ya kuachwa? na akaamua kuoa? mana hamueleweki nyie, usikute ni wale walioachwaga..haloooooo... mtalia na kusaga meno, mshaachwa harudi tena!!! ooooh utalia mwenzangu jiji utalijuaaaa....!!!!

    ReplyDelete
  19. Anaoneka kama anapaka mkorogo ili asiendelee kuwa beast ... Lol

    ReplyDelete
  20. Huyu KP mzinzi kweli! Bonge la FISADI wa ngono

    ReplyDelete
  21. we kp katuni zako ni nzuri na zinaelimisha sana kwa hilo nakupongeza sana ila tabia yako inayoboa ni kujidai ganster!!!ebu angalia hiyo minywele cjui ndo mnaita urasta fila!!!!!inakufanya uonekane km kibaka sikufichi kama kuna mtu anakwambia unapendeza kakudanganya!!!!ukweli lazima uambie kuwa smart umeshakua mtu mzima sasa mambo ya uteenage uyaache.kenge we

    ReplyDelete
  22. huyu anauza sura. bishoo tu hawa vijana wa claus wana sifa sana aende mbele macho kama kafumaniwa.

    ReplyDelete
  23. nimefurahi leo ujapaka make up usoni coz ndo zako hizo tunakujua kwa mikorogo

    ReplyDelete
  24. KIAPO KIPYA CHA MAWAZIRI:-

    MIMI JOHN LAGER MAGUFULI, NAAHIDI KUTORICHMOND NCHI YANGU NA KWAMBA NITAMWAKYEMBE MTU YEYOTE ATAYEIBALALI NCHI YANGU.

    NITAJIEPUSHA NA UNGOYAYI, UKARAMAGI, AU USABAHA WA AINA YEYOTE NA KWAMBA WAKATI WOTE NITAWALINDA WOTE WANAOISLAA, AU KUIZITO NA KUIKILANGO NCHI YETU.

    EWE MWENYEZI MUNGU NIBARIKI.

    ReplyDelete
  25. Pua kama tanuri.Halafu anadiriki kuita watu wengine beast.

    ReplyDelete
  26. Dogo kazi nzuri unazofanya,katika kujitangaza na kutafuta kipato. Ila moja tu! Yaelekea sayansi kimu hukusoma kabisa, ndio maana hujui kuchana nywele.

    ReplyDelete
  27. wewe Anony wa Feb 20 11.06 am. HAKUNA SWALA LA GHUBU AU NINI HAPO ANAAMBIWA UKWELI ASIJIDAI KUWA ANAJUA KUSEMA WATU NA MAUMBILE YAKE. HAKUNA MTU KAACHWA NA KP LABDA WAMEACHANA. NA NI BAADA YA KP KUPATA DADA MWENYE PESA ZA EPA, RICHMOND, BOT NK.

    ReplyDelete
  28. KP KAOA MJASIRIMALI KWELI KWELI HALAFU NI BEAUTY YEYE AKAWA BEAST

    ReplyDelete
  29. JAMANI HUYU KP MIMI ANANITIA NYEGE SANA HUYU.. MIMI NINAONA YUKO SEXY SANA. NINAPENDA SANA MWANAUME WA KUVUTA BANGI.....

    ReplyDelete
  30. KABLA YA KUMWITA MUNGU INSERT HII KATIKA KIAPO KIPYA:

    NA NITAILINDA HESHIMA YA TANZANIA, WANANCHI NA VIONGOZI WAKE DHIDI YA UMASOUD WA KUUZA SURA ZA KIHUNI NA KUSHUSHA MISIFA YA KP NA MASHABIKI WAKE WA MAWINGU YASIYO NA MVUA YA FM.

    ReplyDelete
  31. KP Mdomo mpana huo! Unaweza kuingiza nazi nzima mle!

    ReplyDelete
  32. K.panya, Unajijulia pozi, mambo ya m-a-s-i-k-i-ooo!
    kwaheri

    ReplyDelete
  33. Duh Kweli Wabongo ni NUKSI sana!!! Mnakuwa na wivu wa kisengerema kama majike ya kondoo....Kp kaka kamua na fanya shughuli zako kama kawa....achana na wabongo siku zote hawapendi maendeleo ya wenzao.

    ReplyDelete
  34. HUYU KP HANA LOLOTE, HAPO ANAUZA SURA TUUU! KWANZA MSHIKAJI MI NAKUMAINDI SANA TOKA ENZI ZILE UKIWA NA KAKA BONDA NA DADA YETU (MUNGU AMREHEMU)AMINA, KWENYE CHUCHUCHU, KAKA KIPINDI ULIFANYA KAMA CHA MJOMBA AKO, BILA KUJALI NI KWA AJILI YA WABONGO WOTE, MSHIKAJI UKO POA ILA ACHA KUJIINUA, TUTAKUINUA SISI AMBAO TUKO PEMBENI.

    ReplyDelete
  35. mwee salma, hayo mapungufu ya mumeo uliwahi yaona kabla hujatie knot?ohoo jamani msijefanya kp akaachwa!!!chonde chonde wanawane, ataachwa mwenzenu........au ndio ya mwenye kupenda chongo huita kengeza

    ReplyDelete
  36. Ninakuunga mkono anony wa 4:16 huyu muntu anikojoza nami jamani semeni vya kusema mtamu haswaaaaaa!
    Ameoa huyu kwani?

    ReplyDelete
  37. Duu kaka kipanya unafanana na kipanya chako, bonge la handsome.

    ReplyDelete
  38. KP WEE!!!! KWELI MTOTO WA NYOKA NI NYOKA. JINSI ULIVYOMLANDA BABA YAKO PINDA SIPATI KUSEMA. SIKU NYINGINE UTABASAMU NA MENO TUYAONE MANAKE WENGINE TUNAPENDA MTU KUTOKANA NA MENO YAKE>>>>>>>>>>>

    ReplyDelete
  39. kp we ndo mchizi wangu wasikuambie ki2.Unakaribia matawi ya juu.

    ReplyDelete
  40. Kp unajitahidi. Lakini si vibaya ukatumia muda kumsoma GADO ili siku moja na wewe uje kuwa kama yeye.Lakini kwa kiwango chako cha elimu unajitahidi....

    ReplyDelete
  41. kipanya sura imekaa ka shoo ya mbaula(fiat)

    ReplyDelete
  42. Watanzania acheni wivu. Mnataka awe mzuri ni demu huyo. M2 akipata maendeleo kidogo ni kosa kwenu.

    KP keep it up.

    ReplyDelete
  43. NYIE WATANZANIA MNAOMSEMA KP.. LINI MTAKUA? LINI MTAFIKIRIA MAENDELEO? UPUMBAVU TU NDIO MMEUKALIA, MARA KAFANANA NA PINDA, MARA ANAVUTA BANGI.. NYIE INAWAHUSU NINI? HEBU FIKIRIENI MAENDELEO NA SIO KUKAA KUANDIKA UPUPU HUM KTK BLOG MRADI KUFURAHISHA AKILI ZENU FUPI.. MIDOMO MALI YENU, FITINA ZENU BAHATI YA KP.. NA WEWE MAALIM ABUU, RIZKI KWELI YAKHE WEWE? KUMRADHI KAULI YANGU, LAKINI SWALI LAKO MMMMH LINATISHIA AMANI..

    ReplyDelete
  44. jamani kwakweli watanzania tubadilike kidogo..yani hamkosi kuponda wenzenu..siku zote nyie hamna jema loh!!hata kama mbaya au fisadi si yeye..hebu mwacheni mwenzenu wengine wanabaki kuponda tu wakati mtu anazidi kupata maendeleo...
    kwaroho safi kazi yako poa sana kaka kp
    fatma

    ReplyDelete
  45. Hayo maoni yanaonyesha ni kiasi gani uwezo wa kiakili wa mtanzania wa kawaida ulivyokuwa wa chini sana.

    ReplyDelete
  46. POLE KP. HIZO NDIZO ATHARI ZA KUUZA SURA. UTAAMBIWA MAZURI NA MABAYA. LAKINI HAKUNA CHA KUFANYA BALI NI KUKAZA BUTI.so FAR SO GOOD.ALMRADI USILEWE UMAARUFU MAANAKE NAONA DALILI ZOTE ZINAELEKEA HUKO. KILA LA KHERI!

    ReplyDelete
  47. Kama maoni hayo hapo juu ndo yanawasilisha uwezo wa kiakili wa mtanzania wa kawaida, basi sishangai tena kwanini mpaka leo watu huko tanzania hawapangi foleni hata katika kupanda basi, badala yake wanaamua kugombea kupanda basi.

    ReplyDelete
  48. Kwa ile katuni ya the beast

    1. Hatunywi Serengeti
    2. Hatufiki dukani kwako
    3. Hatusikilizi kile kipindi unachotanga redioni
    4. Tunaanza kuzichukia katuni zako

    ReplyDelete
  49. KP ebu wachana na washamba hao, shule tena si unajua? Ebu nistue kwenye mtamumie@yahoo.co.uk nikuulize mambo ya maana. Ni mwanamke lakini mimi mtu mzima na akili zangu.

    ReplyDelete
  50. jamani kuna watu pimbi kinoma haswa wale wanao mponda kp eti hatuji dukani kwako usipoenda wewe mie nakwenda unakuwa unawivu kama mnshea mke bana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...