fid q, mwana fa na ambwene yesaya ni baadhi ya masupa staa waliokamua sauti za busara. hapa wanapozi na wadau wa zenji ngome kongwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. MASTUPA STAA AU MASUPA STAA? LUGHA BABA BABA HATA HIYO HAIHITAJI "NOT RICHABO" LIMBUKENI HAJIKISI. WEWE SHULE IMEKUPIGA CHENGA USILETE UHUNI WAKO WA GEREZANI

    ReplyDelete
  2. Wewe uliyekosoa "MASTUPA STAA" hapo juu, ulishawahi kusikia kitu kinachoitwa " TYPING ERROR"? kitu kidogo kinachohitaji kutumia common sense wewe unakivalia njuga. Wewe ndio huna shule.

    ReplyDelete
  3. Hawa ni kweli masuper star wa bongo ila team yao haijatimia maana kina balali na lowassa hawamo na wengine watakaojiunga kutoka kwenye kasheshe la buzwagi.
    Hizo shades walizovaa ndio mambo ya red eyes kaka Michu?

    Bwawa la Maini wamesimama wima. Big Up sana.

    ReplyDelete
  4. Mimi sina haja kuingilia huu ubishani uso na msingi LAKINI ni KWELI Michuzi anachemsha sana kuandika vitu humu ndani.
    Kuna jamaa aliwahi kumwelewesha jinsi anavyobadilisha watu majina kwa mfano, NOCODEMUS BANDUKA badala ya NICODEMUS BANDUKA; Asia Idarous yeye akamwita AISA. Si vibaya akakumbushwa!

    ReplyDelete
  5. mwana fa n ay...u guys rock.u r d best of d best, d kings of d kings n queens, u guys lead others follow.u huv been on track for such a long tym but still u r on top..kip it up gentlemen!!! stay blessed.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...