Home
Unlabelled
mh. karamagi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ana bahati sijakuwa karibu ninge mchota bonge la mtama najua kwenye wallet hakosi kiporo cha kwenye ufisadi.
ReplyDeleteHapo anafanya mazoezi ya kutembea kwa miguu ili hata akijafilisiwa kutokana na ufisadi wake basi awe ashazoea maisha ya mtaani
ReplyDeleteWatu wanamshangaa amevaa shati la usifadi! Kila kona akikatiza watu wanajaa na kumwangalia! Anaonekana kwamba amekula hela yote ya serikali! Anatia huruma kwa kweli!
ReplyDeletethis is bongo neither shall he effected in anyway with all evidenced scandal!
ReplyDeletehe has been given oppotunity to rectify anything is putting him in problems!
just in waiting and see if this revelation will not come into existence
Kumbe lijamaa lenyewe ovyo tuu!!ningekuwa karibu ninge mwasha kibao shaaaaap...akalale mbele
ReplyDeletenahisi pia amesafiri safiri, kutia saini mikataba ya madini wanagawana wenyewe, yaani bora amejiuzulu.
ReplyDeleteSIKU MBILI TU JAMAA KAPAUKA BWANA
ReplyDeleteohaa michuu na waosha vinywa wenzangu huyu jaaama ndo nani yeye huko kwenu bongo tafadhali nijibuni.Maana longtime toka nilivyoikimbia nchi yenu.
ReplyDeleteMbona keshaanza kuchoka mapema hata wiki mbili hazijapita tangu avuliwe kofia? Kweli madaraka matamu.
ReplyDeleteMaskini KARAMAGI! Mbona anatia huruma kiasi hiki? Jee kule TICTS wakikubana tena mbavu itakuwaje? Angalia nyuma watu wanavyomcheka, pamoja na kwamba niliuchukia sana ufisadi wake, namshauri atafute BODYGUARD awapo mitaani vingenevyo watu watataka viporo vya Richmond!
ReplyDeleteAMEKATA RINGI KWA KWENDA MBELE!
ReplyDeleteSAKATA la kampuni hewa ya kuzalisha umeme Richmond litawagusa vigogo wengine serikalini endapo watu waliowajibishwa watatakiwa kujitetea na kutoa ushahidi zaidi pia kuna uwezekano wa idadi ya Baraza la Mawaziri kuongezaka au kupungua. SAKATA la kampuni hewa ya kuzalisha umeme Richmond litawagusa vigogo wengine serikalini endapo watu waliowajibishwa watatakiwa kujitetea na kutoa ushahidi zaidi pia kuna uwezekano wa idadi ya Baraza la Mawaziri kuongezaka au kupungua.
ReplyDeleteKauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mtabiri Mkuu wa Afrika Mashariki na Kati Shekhe Yahaya Hussein wakati alipokuwa akiwasilisha utabiri wake kwa mwaka 2008 mbele ya waandishi wa habari.
Alisema katika utabiri wake mwaka huu, amebaini kuwa kashfa ya Richmond itawahusisha vigogo wengine serikalini ambao nao wataingia katika kashfa hiyo endapo aliyekuwa Waziri Mkuu, Bw. Edward Lowassa na Mbunge wa Igunga Bw. Rostam Aziz watahojiwa.
"Nilitabiri kujiuzulu kwa mawaziri wa Serikali ya Tanzania na kweli yametokea. Sasa utabiri unaonesha kuwa maelezo ya Bw. Lowassa ambayo atayatoa katika kueleza mkataba wa Richmond yatahusisha wengi zaidi na maelezo yake yatakuwa kinyume zaidi,"alisema Shekhe Yahya.
Hata hivyo alisema pamoja na Bw. Lowassa kujiuzulu kutokana na kashfa ya Richmond bado jina lake linaonekana lina nafasi ya kuongoza na bado inaonesha kuwa atarudi tena katika masuala ya uongozi wa juu.
Shekhe Yahaya alisema hiyo haina maana kwamba, Bw. Lowassa ataongoza katika shughuli za serikali bali anaweza kuwa kiongozi katika taasisi nyingine nje ya serikali.
Alisema mambo yote hayo yatatokea kati ya Aprili na Agosti mwaka huu kulingana na nyota za mwaka 2008 na 2010 kwa mujibu wa nyota zinavyoonesha. Pia alisema katika utabiri wake ameona kuna uwezekano wa idadi ya Baraza la Mawaziri ikaongezeka au kupungua.
Vilevile kati ya Aprili na Agosti viongozi waliokula fedha za umma watabainika na kashfa zao kusambaa mitaani.
Vilevile alisema Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Issa Shaaban Simba atapata nafasi ya kuwa Kadhi Mkuu nchini ambaye atashughulikia masuala mbalimbali ya Sheria za Kiislamu kutokana na kuunga mkono ujio wa Rais wa Marekani George Bush wakati baadhi ya Waislmu walipinga ujio huo
Pia alisema wale ambao walikuwa wakiongoza maandamano ya kupinga kuja kwa Rais Bush akiwemo Shekhe Alli Basalehe atapata nafasi ya kutambulika na mataifa makubwa duniani kutokana na kupinga ujio wa Rais Bush wakati Shekhe Ponda Issa Ponda na Shekhe Kundecha watapata nafasi ya udiwani au ubunge kati ya sasa na 2010.
Shekhe Yayaha alisema kuwa kutokana na namba ya nyota kwa Tanzania na nchi nyingine zinazoendana kinyota kutakuwa na mambo mengi yatafanyika kwa haki na usawa zaidi na kusisitiza kuwa kwa Tanzania huu ni mwaka wa haki.
Pia ametabiri kwamba mwaka huu Rais Jakaya Kikwete ataweza kutekeleza ahadi zake alizotoa kwa wananchi.
Kuhusu ujio wa Rais Bush alisema kuwa ujio huo ni wa mafanikio kutokana na nyota zinazonesha kati ya Marekani na Tanzania ambapo ushirikiano na ukaribu uliopo unatokana na uwiano wa kinyota baina ya nchi hizo mbili.
"Najua kuna mambo mengi niliyatabiri na kweli yametokea lakini kwa kipindi cha kuanza sasa mambo ambayo nimeyatabiri yatatokea kwani nyota zinaonesha wazi mambo yatakayotokea duniani,"alisema Shekhe Yahaya.
mgambile stop!mgambilsitoopu,mwangalie sura kama mugabe vile hata hana fisadi mkubwa.
ReplyDeleteBraza Karamagi Usiwasikilize Waosha Vinywa Umewaonyesha Kua Wewe Ni Mkale Lakini Mtoto Wa Mjini Vile Vile na Rodini Unadunda Bila Wasiwasi Heee Bana Fwezaa Unazo Watakufanya nini????? Jiachie Bana Mwanawane Kudadadeki...(Ila kaka Nimegee japo Moja ya Kampuni au Nyumba au Fedha Zako Nikuhifazie Kwa Jina Langu Maana Hawa Wazushi Inaonekana Watafagia Kila Kitu Tuwasiliane..Bob_g@hotmail.com)
ReplyDeleteKibaka uyu anakatiza bila kuogopa kuvishwa tairi na wananchi wenye hasira. Kwa usalama wake bora ajisalimishe kituoni
ReplyDelete