Home
Unlabelled
mombo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nane nane imeieeeeeee!!! Ehh...washambaa...nzeze? I miss home!
ReplyDeletemichu unawapata wapi wazungu na maembe.
ReplyDeletemichu naona uko na wazungu umewapata wapi.
ReplyDeleteI see kaka michuzi ahsante sana kwa kutoa hiyo picha ya MS.Naomba uendeleze hilo libeneke maana mandhari ya Moshi imenitoka kidogo.
ReplyDeleteJamani Bro Michuzi hiyo picha ya mombo inanikumbusha mbali sana na inanitamnisha. Very nice. Thanx
ReplyDeleteKWA WAGOSI HAPOOOOO!!! POA SANA, MARIDADI KABISA. NIKIPANDISHA KIDOGO TU HAPO MLIMANI NAFIKA KWETU LUSHOTO, DAH RAHA SANA, HALI YA HEWA TAMU UTAFIKIRI HAUPO BONGO NA MATUNDA FRESH NDIO YA KUMWAGA!!
ReplyDeleteNaam,Mungu ibariki Tanzania!!!kila kitu hapo ni 'home produce'mashaalah
ReplyDeleteAii jamani nimeyamiss maembe dodo ya Bongo. Hivi mdau unajua maembe ya Bongo ni matamu kuliko maembe yoyote yale duniani!?... kweli kabisa! Ya huku hayana ladha!
ReplyDeletemichu umewapata wapi wazungu, niliwahi sikia wanazingatia sana mambo ya afya, wanajali afya za watu sana. michu bwana naona umeopoa.
ReplyDeleteHivi hao wauizaji hawezui kufanya packaging nzuri na kuuza bidhaa zao zikiwa zimefungwa vizuri hadi wauze bidhaa chini kama washirikina?
ReplyDeleteKwa nini wanauza bidhaa chini mavumbi na mavi yakipeperukia kwenye hizo nyanya na vitunguu?
Hawa wazungu wanaokula ndizi barabarani lazima watakuwa ni malofa tu! Kwani wangekuwa matajiri si wangekuja na ndege zao kama kama alivyofanya George Bush.Wazungu watu wazima lakini hovyo eti wanapanda mibasi ambayo ni mibovu.Kama wanajidai wana hela si angalau wangetembea na vyakula vyao wakalia kwenye magari yao ndani.Yaani hata magari hawana.Wananiudhi.
Kumbe na wazungu maskini wapo shoga.
wapeni kipindu pindu tu hao waende wakatupake kwenye ma bbc na ma cnn.
ReplyDeletemkereketwa
nyie wazungu mtaharisha nyiee!!!mnaijua food poison?kayaosheni hayo maembe na maji ya moto...
ReplyDeletehilo kokwa limekaa kama ndude iliyosisimka
ReplyDeleteJAMANI JAMANI WATANZANIA WENZANGU MBONA MNAJISHAUA KIASI HICHO YANI KUKAA HUKO ULAYA MIAKA 2 MITATU AU 4 NDO MNAKUWA WASHAMBA KIASI HICHO MBONA NYIE MLIPOKUWA MAKWENU HUKU BONGO MATUNDA MLIKUWA MNAKULA BILA KUSHO TENA WENGINE NDO MLIKUWA MNANGOJA YADONDOKE KUTOKA KWENYE MTI MAPARACHICHI MLE shWAAAAAAAAAAAAIN KABISA ACHENI KUWA SHAMBULIA WENZENU.
ReplyDeleteHe kwa kuwa leo mko huko ndio mnaona kuwa kipindupindu na wengine kuharisha. Ama kweli limbukeni akipata!
ReplyDeleteHaya haya maembe ndio yamewakuza tena mlikuwa mkiyapopoa wenyewe bila ya kuosha wala nini na mkiyala hivyo hivyo. Na vitunguu na nyanya za Tandika, Kariakoo, Tandale sokoni ndio zimewakuza na zilikuiwa zinauzwa chini kwenye magunia si afadhali hayo yamepangwa kwenye hivyo vikopo. Jamani acheni kujitia ustaarabu usio na kichwa wala miguu na kudharau kwenu na vya kwenu. Hapo Mombo mtu akitaka kula maembe siku hizi maji yapo ya 200 anayaosha anakula seuze enzi zenu mlikuwa mnayala bila ya kuyaosha. Ndio nyie mkiona picha za kwenu mnaona aibu. Aibu ya nini na kwenu ni kwenu na maembe hayo si GMO wala nini yako kiasili na salama!