mambo brother michuzi.
kwanza kabisa naomba kukupa big up kwa kazi kubwa ya kuwapa habari wadau wote wa blog hii habari mbalimbali za nchini na nje ya nchi, si tunafurahi sana kupata habari hizi, maana bila hivyo hata comment za wadau nisingeziona na kufurahi keep it up kaka! mi hapa napenda kuwatafuta wadau wote wa KLF milambo high school 2002-2004 pia KLF 1998-1999.
mimi nipo hapa nagoya japan, naomba tuwasiliane kwa email hii micheale2002@yahoo.com
mdau Japan
Kipindi hichi cha matembezi ya Kichaka, wengi wanaongelea juu ya kupewa samaki au nyavu ukavue mwenyewe. Kufuatilia hayo ningefurahi iwapo na sie tujaribu kujiweka kijiwe ili wanaotutafuta watuone. Kuna hii web ya : www.graduates.com mie pia niliiona humu kwa Mr. Soup. Ningeshauri tuache news zetu hapo, na huenda kuna mtu anayetutafuta atatupata. All the same, iwapo Supu anasaidia, tumtumie pia.
ReplyDeleteBlackmpingo
Mdau mbona hukutaja jina lako? kipindi hicho ulichokitaja walipita wanafunzi kibao. Ila mimi nahisi wewe ni FW. Vyovyote vile, tuwasiliane kupitia chaderutta2003@yahoo.com
ReplyDelete