Michu,
najua upo busy kwenye mambo ya Pres Bush, ukipata muda naomba unigongeshee hii.
Nimepotea bongo muda kidogo, nawatafuta washikaji niliosoma nao enzi ATC (Air Tambaza) Miaka ya 80's..Kama ABEL MAYIRA, RASHID MCHATA, GIDEON FUE, ARISTERIK BITEGEKO, na wengine wote wa darasa hilo,
tuwasiliane
Asante Prof Michuz
Kwa taarifa nilizo nazo wote hao tumeshawazika. Pole sana ndugu.
ReplyDeletendugu yangu kama unamuulizia Rashid Idd Mchata aliyekuwa RTD,bahati mbaya alitangulia kwa Muumba wetu,unless ni Rashid mwingine.
ReplyDeleteNinyi jamaa hapo juu acheni uchawi.. As far as I know, Mchizan Astery yuko ngangari mji kasoro bahari, Mdau Rashidi naye yuko fizikali, mara ya mwisho nimemsikia alikuwa kibosile wa mshikaji wangu mmoja hapo Bongo somewhere, fit. Mwanaharakati Gideon Fue AKA Masumbuko, mara ya mwisho nimemsikia Tambaza 19 kweusi lakini sina taarifa zake..Nitamtafuta. Wadau acheni uzushi kuua watu siku si zao.
ReplyDeleteMdau Akili bin Haki.
Kama ni Rashid Kassim Mchata,he is working with Unit Trust Of Tanzania.0754800544
ReplyDelete