HAYATI JOSEPH NATIANOTA
(03-09-1976--14-02-2008)


Familia ya Bwana na bibi Natianota wa Mkwawa road Oysterbay Dar es salaam inasikitika kuwajulisha habari ya kifo cha mtoto wao mpendwa Joseph Natianota kilichotokea Alhamisi saa 06:30 mchana katika hospitali ya John Radcliffe Oxford ,Uingereza. Mipango ya mazishi inafanyika Slough address ifuatayo:


57 Ledgers roadSlough,

Berkshire,

SL1 2RQ

Watanzania wote tunaomba tushirikiane kuchangishana ili tuweze kumsafirisha marehemu nyumbani Tanzania kwa ajili ya mazishi.
Kwa mawasiliano zaidi mnaweza kuwasiliana na wafuatao
Helbert Maganga 07828763956
Reading,Onesphoro Makau 07789114089

Ngwesa 07826515119 Cardiff,
Raymond Malonga 07767087369 Slough
Charles Mokiwa 07776313840 Slough,
Daniel Mokiwa 07776383639 Slough
Denis Safari 07825163358 Birmigham

Michango inaweza kutolewa kwenye account ifuatayo:
Mr O Makau
Sort code 40-05-00
Account 95886872
HSBC Bank-Slough


'BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIABUDIWE AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. May you rest in peace Joseph. STD one O`Bay 1984 will always miss and remember you.

    ReplyDelete
  2. Mungu ailaze Mahali pema peponi roho Joseph.Will always miss you Joseph

    ReplyDelete
  3. Rest in Pace Shengi.

    ReplyDelete
  4. Rest in Peace Joseph "Shengi". Wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki wote poleni na msiba huu mkubwa wa kuondokewa na kipenzi chenu.

    ...

    ReplyDelete
  5. condolense to his family. May God rest his soul in eternal peace.we will miss u. vodahuduma

    ReplyDelete
  6. muwe mnasema na chanzo cha kifo kabla yakuanza kuomba rambirambi...hela ya mabox ngumu

    ReplyDelete
  7. Kazi ya Mungu haina makosa, Baba Mungu akulaze mahala pema peponi rafiki yangu mpendwa.Nawapa pole sana wazazi,ndugu,jamaa na marafiki wa Jose.

    ReplyDelete
  8. ooh no.. lord have mercy.. jamani, rest in peace shengi.. ndisha, pole sana wangu,we are all going there.. hatujui lini na saa ngapi. guys, pray and love one another..
    god bless you all and guide u through this very difficult moment..
    checks family..

    ReplyDelete
  9. RIP Shengi,,we'll always remember you and love you.

    ReplyDelete
  10. wewe anon wa 2:44:00, huna adabu.. ungeuliza kistarabu shengi amefariki kwa ugonjwa gani na sio kukejeli watu hapa.. eboo.. hujalazimishwa kutoa hizo hela zako za mabox kumchangia marehem, hakuumi kwakuwa hakuhusu.. ngoja na wewe ufiwe halafu mtu akuulize kikejeli hivyo kuhusu mtu wako aliekufa ndio utajua umuhim wa kuwa na kaustarabu kidogo maishani.

    ReplyDelete
  11. We anon feb 15 2:22
    Unamatatizo we kijana, wakishakuambia chanzo cha kifo ndio iweje. Jamaa ameshafariki kwa ajali, ugonjwa nk. Wanachoomba ni msaada tu, kama za kwako ni mpaka uletewe detail zote basi shove it where the sun doesn't shine. Yatakopokupata ndio utaona kweli hela za mabox ni ngumu/rahisi. Kutoa ni moyo.

    ReplyDelete
  12. R.I.P Shengi.... Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki!!

    ReplyDelete
  13. WATU WENGINE BWANA, WEWE UNATAKA CHANZO CHA KIFO ILI KIKUSAIDIE NINI? KWANI HATA UKIJUA KAFA VIPI NDIO UTAFANYA NINI?? WATU WENGINE MNAMAWAZO FINYU, NAKUONEA HURUMA SANA NDUGU YANGU, KWANI WEWE HUJUI NI LINI NA SAA NGAPI UTAONDOKA DUNIANI!!! KAMA HUWEZI KUTOA MCHANGO UKAE KIMYA USIANDIKE VITU VYA AJABU. SHAME ON U!!!
    R.I.P. KAKA SHENGI. N.S. SLOUGH

    ReplyDelete
  14. jamani hata siamini kaka shengi umetutoka..ni majonzi kwa kweliii...poleni jamani msengii,ndisha,mtambii familia ya Natianota..kakangu babuu..mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

    ReplyDelete
  15. RIP JOSEPH AMEN.GOD BLESS YOU AND ALL YOUR FAMILY BE STRONG PEOPLE

    ReplyDelete
  16. Rest in peace shengi

    ReplyDelete
  17. Poleni wafiwa, RIP kaka..
    we mbeba boksi unayekurupuka na kuandika utumbo hapo juu, hukulazimishwa kuandika wala kuchanga, we ngoja, dawa yako iko jikoni inachemka, tena uko huku nje na hali yako ndo ya kubeba boksi, utaona, yatakukuta, kama sio kufiwa, basi utakufa wewe, omba mungu usije zikwa huku ugenini,,,tema mate chini, msalie mtume, wenzio wamefiwa mbali na home, wanaomba mchango, we unaleta maneno yasiyo na mpango,,,amakweli boksi linaharibu akili, mtu mpaka ule utu wa kinyumbani umeupoteza, unaanza kubehave kama wazungu, wasio na ubinadamu, yaani umekuwa kama mnyama, anyway, we endelea na tabia za hao watasha wako, then ukifa uone kama watakurudisha kwenu, kama hawajakuzika hukuhuku,,,mmh sasa ninaamini kuna haka kaugonjwa ka ulayaulaya (Kichaa Cha Ulaya) naona we kimekushika haswa,,,anyway, DAWA YAKO IKO JIKONI INACHEMKA....

    ReplyDelete
  18. Isabella Natianota & family poleni sana kwa msiba wa Joseph! R.I.P Joe

    ReplyDelete
  19. isabella na ur family pole sana,may God be with u jamani...poleni...asnath

    ReplyDelete
  20. INALILLAHI WA INA ILLAHI RAJIUN!
    Isabella Nationata & family poleni sana kwa msiba wa Joseph!Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awape nguvu katika wakati huu mgumu. Inshallah Malaika wema wampokee marehemu Joseph Shengi.Aziz Rwenza & the FamilY.Amina

    ReplyDelete
  21. Kama unaona tabu kutoa hela yako ya mabox wewe peleka kwa ndugu zako bongo wacheze Inde monii.

    Mara ukianza kuumwa na mgongo ukidhani wametunza ndipo utakapo jua kuwa Ulipoteza muda wako.

    Poleni kwa msiba wafiwa mmasamehe huyu kijana kachanganyikiwa na kazi za mabox maana hana muda hata wa kulala ana kesha kiwandani apate hela za kumalizia banda alilolianza baba yake miaka 10 iliyopita.

    Mungu alitoa Mungu ametwaa jina lake litukuzwe. Amina

    ReplyDelete
  22. May Almight God rest his soul in eternal peace Shengi. Tume kuwa wote mtaa wa Mkwawa, ni vigumu kuamini haupo nasi tena baada ya kukutana tena muda si mrefu. Pole sana Mzee Natianota, Mama, Ndisha, Msengi na Mtambi kwa kuondokewa na mpendwa wenu. Mungu awape nguvu, ya kuyapokea na moyo wa kusonga mbele. Mungu ametoa, Mungu ametwa, Jina lake lihimidiwe.

    ReplyDelete
  23. We mbeba boksi nitakufata na ungo usiku nikujie huko huko ulaya,uijue raha ya kufiwa.

    ReplyDelete
  24. poleni sana familia yote ya josephat natianota, ni jambo zito sana kulikubali lakini ni kazi ya Mungu.
    Shengi my dear umeondoka mapema, nashindwa kuamini kama haupo tena sitakuona tena hapa duniani, inauma sana.i loved you shengi and always you will be in my heart. Hujawahi kutoka ktk moyo wangu Since 1998.
    rest in peace my love. G,London.

    ReplyDelete
  25. I'm really sad to hear such News,May God be with you through this difficult moment & always.
    Uncle,Aunt,Ndisha,Msengi & Mtambi,my heart is there with you.
    May my Cousin's soul Rest In Peace..Amen
    It's Monica Msengi.

    ReplyDelete
  26. May Da Almighty Lord Rest His Soul in eternal peace.Amen.May he also fill his family he left behind with so much strength n peace to accept his death even though da gap he left cannever be filled by anyone but with God graces and embracement they shall conquer all.
    Walipenda ila Mungu alimpenda zaidi tuzidi kuiombea roho ya marehemu ili aweze kupumzika kwa amani.Amen

    ReplyDelete
  27. RIP Joseph
    ...Wote tupo njia moja wewe umetangulia tu
    Mary- Birmingham(UK)

    ReplyDelete
  28. POleni sana wafiwa.

    Jamani naomba kuulia kwanini mtu akifariki ni ina kua kama kashfa kuuliza kafariki kwa nini? , kwanini inakuw adhambi kubwa, ndio mtu kafariki una jua kufariki sio jambo geni ila pia ni jambo la kustusha na kifo hakizoeleki, na pia watu wana guswa ,kuona kijana mdogokafariki, ikawaida kuuliza amefarikije , sasa kwanini iwe ni dhambi kuuliza?

    Nina uhakika hawa waote wanaoijifanya ,ooh sjui kumtukan aliy uliza, wote walipo sikia kuwa rafiki yao ame fariki lazima waliuliza alifarikije, na labda jibu wanalo , ila wana jifanaya wengine hawana haki za kujua kijana kafarikije.

    Nadhani unapo mhusisha mtu kutoa mchango , ina maana ame guswa na pia ana haki ya kutaka kujua marehemu ilikuwaje akafariki

    ReplyDelete
  29. naomba nikujibu we uliyeuliza swali la mtu kafarikije.. ni kwamba huyo aliepita hakuuliza vzuri alipaswa aulize kistaarabu na sio kulalamika kuwa "sio mnaomba michango ya rambi rambi bila kueleza chanzo cha kifo"chanzo yeye kitamsaidiaje?? alipaswa aonyeshe masikito kwanza na kuuliza je imekuaje mshkaji katutoka?? hapo watu wangeelewa kuwa yuko pamoja nasi katika kuomboleza na sio alivyooliza na kulalamikia hela yake ya mabox... kwani hiyo hela kazi yake nini kama sio kusaidia wengine na matumizi yake binafsi.. afterall atakufa aiche so kwenye vitu kama hivi watu tujaribu kidogo kuweka mzaha pembeni kwani leo kwangu kesho kwako hakuna atakaeishi milele hapa ni swala la mda....ASANTE NYAKI

    ReplyDelete
  30. rest in peace brotha we will always miss may ur soul rest in peace

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...