Home
Unlabelled
neshno mdebwedo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nyasi za bandia mdebwedo kote kote duniani.sasa wajenge msingi hili next time maji yasiweze kuna.manake nyasi za bandia hizo unataka maji yaende wapi?
ReplyDeleteSifa mojawapo ya Fisadi ni ile hali ya kutojali athari zitakazojitokeza kutokana na vitu vidogo vidogo ambavyo huweza kuzuilika alimradi yeye atakuwa pembeni wakati huo basi hajisumbui akili yake... Kwa hiyo Bw. Michu ujue kuwa neno "shaka" sikuzote hujitokeza sehemu ambayo ze fisadi alipita..
ReplyDeleteNitatoa mifano iwapo itanilazimu kufanya hivyo ila kwa sasa ngoja niwahi Box..
Duu ni uwanja mpya jamani au bonde la msimbazi?mbona maji yamejaa hivyo?ni bora tuje tupande mpunga humo ndani..mdau
ReplyDeleteSi made in china we unategemea nini kama si mambo ya aibu tupu.
ReplyDeletejamani si mnaona wenyewee
Duh!! Kazi ipo sakata jengine hiloo la uwanja, wabunge watataka iundwe tume sasa hivi mabubu tangu wajue kusema tutakoma!!
ReplyDeleteHuu si uwanja Mkuu Wa Taifa (Main National Stadion) bali ni ule uwanja wa Taifa. Hivyo hauna uhusiano kabisa na ule uwanja wa wachina.
ReplyDeletehao waliojenga mapumbavu kabisa kwanini hawakuwe drainage za kutolea maji,kwa nini hawakufanya uchunguzi kwanza kama mvua ikinyesha itakuwaje,wahandisi wa aina gani au kwa sababu wachina? tuwe waangalifu sana na hao watu hata majumba wanaojenga tuwe makini.Sijafika uwanjani lakini nins wasiwasi hata ikitokea dharura hapo uwanjani ya kitu chochote patakuwa atashika nguo kuchanika hatoki mtu .Kuweni makini na hao watu kwani macho madogo na ufupi sio akili.
ReplyDeleteMdau Mbeya
Michu hapo umechemka Kaka ! huo siyo uwanja mpya wa kisasa uliojengwa na Wachina.... Huu ni ule wa zamani unaotumiwa kwa magwaride ya Jeshi, ingawa ni kweli nao umewekwa majani ya bandia
ReplyDeletedah!!!!!!!!!!!!! sina hata la kusema manake nyasi zilitiliwa zengwe kuingia nchini sijui kibali sijui nini kumbe walikuwa wanangoja mvua zipite lakini hii ya juzi imewaumbua kweli bongo ni kiboko...mbona zamani haikuwa hivyo???????? hapa kuna mkono wa fisadi ikibidi mkandarasi atoe vyeti kuthibitisha uwezo wake
ReplyDeleteMichu Huu Niule Wanja La Zamani la Taifa la wenyewe serikali na wanajeshi wake. tatizo watanzania tunapenda kufanyiwa kila kitu wanja la majani ya bandia matokeo yake ndio hayo tuwaachie wenyewe wanaojuwa kulitizama uwanja wa majani ya bandia uko urusi wenzetu wana paa lakufunika.
ReplyDeletekaka michuzi,ungewaeleza hawa viumbe kwamba,huu ni ule uwanja wa zamani,(gofu)na sio ule mpya,hawa watu hata picha hawaioni? halafu suala la maji ni mazingira ya kijiografia,huku mechi zinaghairishwa kutokana na wingi wa snoo(snow)jambo dogo tu,wanaanza kuropoka ~nomaaaaa
ReplyDeleteMTONDOO JR
Jamani hilo neshno au msalani???hata Bangaladeshi viwanja vya michezo kavu...lakini kwetu...ah labda tuwafuge samaki humo!!!
ReplyDelete