kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mh. hamad rashid mohamed na waziri mkuu aliyejiuzulu mh. edward lowassa wote wameunga mkono uteuzi wa mh. mizengo pinda kuwa waziri mkuu. michango ya hoja hiyo inatolewa sasa na anayeongea ni mh. getrude mongella, anakaa na anainuka mh. anna abdallah na hatimaye katajwa zitto kabwe, kuchangia hoja hiyo. wote mongella na anna abdallah wanaunga mkono uteuzi, wakimpa maksi zote mh. mizengo pinda
Home
Unlabelled
owassa na upinzani waunga mkono uteuzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Duh,noma kweli anyway.
ReplyDeletehayo ndio mambo tunayotaka watu kama hawo wasiokuwa na majina makubwa ndio viongozi wazuri kama wakina hayati sokoine
ReplyDelete