Home
Unlabelled
pongezi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mh Pinda HOngera sana. Mimi ninaYo MAWILI tu.
ReplyDeleteWatanzania ni wasanii sana na usipokuwa makini watakunasa tu na kukuchafulia.
Naomba, tena naomba sana kazi yako ya kwanza iwe ni kuuliza nani kalipia ndege iliyokwenda kuwachuka wazazi? KAMA NI WEWE MWENYEWE POA.
LA KAMA SI WEWE mwenyewe toka mfukoni mwako basi hakikisha unamuwajibisha mara moja. ndio rushwa hizo wasijewakakuzoea vibaya. Inaweza ikawa ni hela ya BOT au BUZWAGI au RICHIMONDULI.
HAlahala baba, haya si majungu fanya uchunguzi na hata kama ni ofisi yako wakuonyeshe hilo fungu linaloruhusu vinginevyo utajashindwa kusimamia matumizi ya ofisi yako. Na ukifutilia utaambiwa gharama za kutisha kwenye kukodi hiyo ndege.
Ahh KAKA ANZA VIZURI WASIKUHARIBIE HAO.
LA PILI
mshauri mZEE apunguze safari. Hao wanaompangia au kumshauri wanalojambo lao si kwa kumpenda bali kwa maslahi yao. Unajua watendaji serikalini ni wajanja sana. wanajua falsafa ya "KEEP HIM BUSY"
.Basi yeye atakuwa hana muda na ofisi kwa vile wanamfanya BUSY kuzunguka KUTWA KUCHA kumbe ndo na wao wanapata muda na mianya wakufanya mambo yao.
Wanajua akikaa ofisini atajua MACHAFU na atapata muda wa kufuatilia hivyo the only way ni KEEP HIM BUSY. Nawe tahadhari si kila siku safari utakuwa UNATUMIWA ukidhani UNATUMIKIA wananchi.
HONGERA SANA. KAKA ANZA VIZURI WATAKUCHAFULIA HAO.
Huyu baba watamfungulia mashitaka ua ndio imetoka hivyo. Kujiuzulu basi ndio mwisho wa hadithi?
ReplyDeleteMi naona wamfungulie mashitak au arudishe hela yote ya mshahara kwa vile hakufanya kazi aliyopewa na watu
Manake hapo baraza limevyunjwa basi ndio kila kitu kitaisha but how about our money?
Na nani atajifunza ina maaana kila anayekosea ni kujiuzulu tu and then story imeisha?
Hello God
ReplyDeleteHello God, are you out there?
Can you hear me, are you listenin' any more?
Hello God, if we're still on speakin' terms
Can you help me like before?
I have questioned your existence,
My resistance leaves me cold
Can you help me go the distance?
Hello God, hello, hello
This old world has gone to pieces
Can we fix it, is there time?
Hate and violence just increases
We're so selfish, cruel and blind
We fight and kill each other
In your name, defending you
Do you love some more than others?
We're so lost and confused
Hello God, are you out there?
Can you hear us, are you listenin' any more?
Hello God, if we're still on speakin' terms
Can you help us like before?
Oh, the free will you have given
We have made a mockery of
This is no way to be livin',
We're in great need of your love
Hello God
Hello God, can you grant us
Love enough to make amends
(Hello God) Is there still a chance
That we could start again
Hello God, we've learned our lesson
Dear God, don't let us go
More than ever
Hello God, hello, hello
Hello God, we really need you
We can't make it without you
(Hello God) We beseech you
In the name of all that's true
Hello God, please forgive us
For we know not what we do
Hello God, give us one more chance to prove ourselves to you
Hello, God; hello, God
http://www.youtube.com/watch?v=W49H4UYClCM
Premier wetu ana sura ya haja sana... nzito... Sijui Kikwete kamteua ili awe anatisha cabinet..
ReplyDeleteUYO JAMAA LEFT NDIO ANAYESABABISHA TULIPE UMEME SH 100000 KWA MWEZI
ReplyDeleteTuna handsome President na Ugly Prime Minister.
ReplyDeleteSasa Mh. Pinda atamfungulia mashtaka kweli Lowassa? Au wamekumbatiana kinafiki?
Jamani nashindwa kuelewa huku kuachia ngazi nusunusu.Hivi kama wamejiuzulu Uwaziri sababu ya ufisadi, nani anawataka Bungeni?hatutaki wakatunge sheria zetu na hata kwenye chama wnatutia aibu wajiuzulu vilevile na wafunguliwe mashitaka ya uhujumu wa uchumi.nawapa pole wananchi wa majimbo ambao hawakatai kuendelea kuwakulishwa na fisadi hao wakubwa
ReplyDeletetumeona anakunong'oneza hapo kuwa umsamehe hiyo shauri yako sisi tunataka hatua zilezile kama wengine wanavyofanyiwa zichukuliwe.
ReplyDeleteLowasa aliliamika kuwa issue ni uwaziri mkuu sasa inabidi aoneshwe si hicho tukwamba hafai bali pia ni kurudisha jasho la wananchi aliloiba
Kwamba ameonewa ni malalamiko yasiyo na msingi hata mwizi akikamatwa redhanded atasema nilikuja kuomba maji ya kunywa na si mwizi hivyo awezi kuacha kutapatapa
Haki ya kusikilizwa kaijua leo hii?kasahau alivyomfukuza kazi saiti yule injinia wa temeke?alijieleza wapi?Je wale wakuu wa wilaya aliowadhalilisha mbele ya wake zao wakwe,watoto na nyumba ndogo zao? kwa hili he was not siriasi. mambo ya mfa maji haya.
Kuna mtoto wa shule kule kanda ya ziwa Lowasa alipoenda ziara aliwahi kueleza nadharia ya mshika mawili moja humshinda, aliuliza vipi mtu aweza kuwa na madaraka kedekede kwa wakati mmoja?jamaa alishindwa kujibu.kiundani mtoto alimaanisha umiliki wa biashara na siasa wapi na wapi? ndio hayo sasa ya rich monduli na nafasi aliyoacha.Ilitakiwa aachie muda ule aliposhindwa kumjibu yule mtoto. Anayefahamu huyo mtoto yupo wapi so far tafadhali tufahamisheni manaake swali lake linamfanya baadae aje kuwa mwandishi wa habari wa kutisha
Hii ndio siasa, wanaonekana wana furaha lakini moyoni ni vingine kabisa. Unafiki mtupu, ninawashangaa wataalamu wanaoacha fani zao wakakimbilia siasa ambazo hazina fomula ni ujanja ujanja tu!!!
ReplyDeleteHIYO NI SURA YA KAZI BILA UBISHI.SIKU ZOTE WENYE SURA SOFT AU HANDSOME NDIO VIBAKA WAKUBWA.
ReplyDeletemmh jamani kafanana na Tibaigana huyo au ni ndugu?
ReplyDelete