pamoja na kuendeleza mambo ya ulimbwende kupitia beautiful tanzanie agency na dada irene kiwia, miss world africa 2006 pia ni prodyuza wa kipindi cha luninga kituo cha star tv kama anavyoonekana hapa akiwa na kamerameni wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Who is who here Nancy au Irene Kiwia ???? wake-up bro

    ReplyDelete
  2. USARE NDU NA KWI YALE MASIYOHI(KIMERU NOT VERY REACHEBLE NAJARIBU) KWA KWELI THE HAIR STYLE NOT FOR YOU UR FAR BEAUTIFUL BUT THIS STYLE NOT ADVISIBLE OK LOVE U ANYWAY MTU WA KWETU

    ReplyDelete
  3. Anachotumia usoni mwee kisije kikampa cancer. hamna midl stuffs za kuondoa chunisi...PROACTIV au clinique is better

    Hiyo inaonyesha inavyokula mashavu huo uredness sio mchezo na jua letu sijui ni sun burn hiyo ndio mwanzo wa cancer jamani.

    my 2 cents

    ReplyDelete
  4. Nancy achana na hiyo style ya nywele inakufanya uonekane umri umeenda bwana in short haikupendezi sorry for saying that.

    ReplyDelete
  5. Huyu dada mimi ninamzimia sana!

    ReplyDelete
  6. "dada irene kiwia, miss world africa 2006 pia ni prodyuza wa kipindi cha luninga kituo cha star tv kama anavyoonekana hapa akiwa na kamerameni wake"
    Huyu sio Irene Kiwia ni Nancy Msumari

    ReplyDelete
  7. NENDA SHULE WEWE MTOTO FORM IV HAITAKUSAIDIA KITU ACHANA NA UMAARUFU WA KIPUMBAFU KAMA UNA UWEZO NENDA SHULE ANGALAU DEGREE KAMA HUYO KIWIA HATA UCHAMBUZI WA MAMBO UNAKUWA MPANA, SAWA ULISHINDA MISS WORLD SABABU KIGEZO HAKIKUWA SHULE TU ILA SHULE NDIO MAMBO YOTE MIMI SIJASOMA ILA NI MTU MAARUFU SANA LAKINI KILA NIKIKAA KWENYE GROUP LA WATU NAOAMINI NDIO LEVEL YANGU SIFITI VIZURI NA PESA YANGU YOTE CONFO LINASHUKA KIDOGO NA SISI MIMI TU NISHAONA WENGI SASA FANYA MAPEMA KABLA HUJACHOKA NA SHIDA ZA DUNIA HII MAANA NI NYINGI.

    ReplyDelete
  8. Hongera Dada!! Hii style inaonyesha jinsi ulivyofanana na baba yako mzee Sumari!Sio kama utani au nakukandia, ila kwa mtazamo wangu naona like daughter like father.... au mnasemaje wadau?? Tafadhali Michuzi usiibane hii, ni maoni tu yangu mdau! wala usijenge chuki.

    ReplyDelete
  9. Nyie mnao piga domo kuwa michu kachemsha kwenye maelezo mnaonyesha jinsi gani upeo wenu wa kuelewa ulivyo mdogo. Kama mngesoma kichwa cha habari msinge andika huu utumbo wenu.

    ReplyDelete
  10. Inasikitisha sana mdada mrembo anajiaribu kwa kujibadili style aliyokuwa nayo miaka yote hii, Nancy ana opportunities nyingi kama angekuwa angalau ana degree angeweza kuanzisha her own firm and try to archive different things, ujue kila kitu na rudia kila kitu kina mwisho miaka 5 ijayo au kumi hutakuwa mzuri kama sasa utapate maendeleo any way ,wazazi wake ndio waku msistizia shule sio wadau

    ReplyDelete
  11. Mdau anony wa 3:01 kwani huyu binti hakwenda shule tena? Mbona nilisikia anakwenda chuo sijui kenya mara kajoin chuo kikuu dar? Wanaofahamu watuhabarishe jamani
    Ila maoni yako ndugu yangu ni ya msingi sana. shule inasaidia sana maisha, hasa ukishaanza kufanikiwa. Mimi umenigusa pia

    ReplyDelete
  12. michuzi ANACHEMSHA SANA KWENYE BLOIG HII.
    ANACHANGANYA MAJINA YA WATU NA HATA WENGINE KUTOANDIKA MAJINA YA WATU VIZURI.
    NAKUMBUKA PICHA YA HUYU ALIITOA (POTRAIT) HIVI KARIBUNI NA KUDAI AMEBADILI MTINDO WAKE WA NYWELE MWAKA HUU WA 2008 ( WIKI ILIYOPITA)NA JINA ALIANDIKA NANCY SUMARI!
    LEO NASHANGAA ANAMWITA IRENE KIWIRA! I DON'T KNOW. AM TOTALLY CONFUSED.

    ReplyDelete
  13. jamani huo si mkorogo, mrembo huyu kapaka "blush"

    ReplyDelete
  14. Anon Monday, February 11, 2008 3:01:00 AM ameongea point sana kuhusu shule bila shule hakuna chochote ndugu yangu

    ReplyDelete
  15. Huyu binti aliamua kunyoa nywele baada ya kumwona Ntuyabaliwe amenyoa. Sasa ki ushauri... Nancy hupendezi kuwa na nywele fupi PERIOD!

    ReplyDelete
  16. Ni kweli mdau 3.01 unavyosema. Mimi nina master degree na mume wangu ni IV grad bongo.

    Alivyokuja huku alikimbia shule ila bahati akili alikua nayo baada ya kuweka mambo yake vizuri alifungua biashara. Ni mchapa kazi sana lakini ukweli ni kuwa kwenye mikutano na wafanyakazi, social gathering, mikutano ya watoto shuleni au mikutano ya kanisani utaona confidence yake yote inapungua sana na hela yake yote inakua sio kitu tena.

    Lakini namsukuma sana summer ataanza kuchukua madarasa kwenye college nearby.

    Elimu muhimu sana.

    ReplyDelete
  17. Wow hivi bongo mtu yoyote anaweza kufanya kazi kwenye media bila hata kusomea eeh?DUH hii inasikitisha maana watu walioko kwenye media za wenzetu kila mtu ana degree ya media or tv production..soo sijui kama tutafika..enewei ni maoni yangu tuuuu no big.. heart u bro michuzi

    ReplyDelete
  18. inachekesha sana watu wanapokimbilia kukosoa bila kusoma vizuri nini kimeandikwa. Jamani hamkufundishwa jinsi ya kutumia mikato na nukta? Kabla hamjaanza kumkosoa Michu someni vizuri.
    Kwa wale wagumu kuelewa nitawasaidia kuwarahisishia:
    Michuzi ameandika kuwa Nancy na Irene Kiwia wanajishughulisha na Tanzanie Agency. Vilevile Nancy ni Producer wa Star TV

    ReplyDelete
  19. Enda mbele shuule mfwamaye akwa...Umaarufu kitaare shuule lukeelekaa kindo ndi..Literaly meaning...Go to school first my sister..Being just a celeb may serve you nothing subsequently with no education...!!! Nancy try to always aim higher in everything..NOT only in beauty scene....Eka nnu deny mmbe...Symply means Thanks abundantly bwana...!!! Appreciate my home girl NANCY & her Sister Nakaaya..Correctly said MAKAAYA..Meru Born Brother Frank Ndossi..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...