

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani mbona mmesimama hivi kama mko kwenye foleni?au huyo mshindi wa zile dola anazigawa na nyie mnangojea zamu yenu!?jinsi mlivyotabasamu,mie nina shaka!
ReplyDeleteenuff respect richard dogo ame prove kwamba kweli mwanaume, pamoja na zengwe na mambo yote he is a true winner kuweza pia kurekebisha mambo ya ndoa amongst other things, its like the ending of a very dramatic movie and a happy one at that, big up to him,
ReplyDeletedogo angalia hizo dola laki mbili wala si nyingi sana, zitaisha sasa hivi, we cheza tu! Wekeza mahela hayo, usijeishia nawe kwenye kagenge ka kuuzia mapande ya nanasi!
ReplyDeleteMichu naona haka ka t-shirt ulikovaa kangekapiku kale kengine kapigwe mnada...
ReplyDeleteKAMA NICHUKIAVYO UFISADI WA FEDHA ULIOFANYIKA BOT NACHUKIA PIA UFISADI WA MAPENZI ULIOFANYWA NA HUYU JAMAA HUKO BBA TENA HADHARANI.
ReplyDeleteHAKUMKOSEA TU MKEWE BALI HATA MIMI MTANZANIA MWANAMME NINAYEJALI MAADILI NA UTU WETU.
ALIPATA FEDHA ZA AIBU KAMA ZA YUDA ISKARIOTE NA HATAFANYA CHOCHOTE CHA MAANA KUHUSU HIZO FEDHA.
MICHU HII IPANDIKWE ILIVYO HATA KAMA NI TOFAUTI NA MTIZAMO WAKO.
Hi
ReplyDeleteRichard its Phillip Newman here. mate i cannot seem to access your website because i am told i need pluggings( whatever that means) and yet i cannot even download them. could you look into that to make t easier for us to look at it. Greetings to mzee vincent and loius, your wife and eddy
Cheers
phil
michu nasikia jamaa alikutana na tibaigana airport, mwambie amualike siku ingine tiba kwenye show.
ReplyDeleteJamani nimempenda sana huyo kaka wa pili kushoto hivi nawezaje kupata namba zake za simu the guy is so handsome.
ReplyDeleteWe anon wa 9:41 ndo maana huko nyumbani UKIMWI hauishi. We kila ukimuona mwanaume handsome tu unaomba namba ya simu! Loh!
ReplyDelete