Home
Unlabelled
sauti za busara hodi..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
RUDI WEWE UNAENDA WAPI WAKATI SISI NDIO TUNAKUHITAJI KIPINDI CHA UMBEA MUHIMU WA SAKATA LA RICHMOND GEUZA NYUMA.
ReplyDeleteNaona "FULANA" mzee..
ReplyDeleteMichuzi hoyeeeeee... Naona leo umewapiga bao jamboforums maana hawako hewani
Hebu rudi mwenzio kaahirisha safari muhimu binafsii ya marekani. Si umesikia
ReplyDeleteHi Michu! Nikija bongo nakuletea T-shirt kama kumi hivi. Hiyo moja tumeichoka! Okaaayyy (ya kinugu)
ReplyDeleteAngalia tindikali tu ndugu yangu.
ReplyDeleteMICHUZI endelea na fashion zako hawa wanaosema wanakuletea t-shirt za wanaugu kutoka Marekani hawana deal. Kwa ni we unashindwa kuja huku au kwenda huko Paris kufanya shopping za nguo?
ReplyDeleteWeee michuzi endelea kuwa unique unapendeza hivohivo na viflana vyako. Kwanza ukiuza flana yako bei yake itakuwa sawa na kununua magari 2 achana nao kabisa wanaoigiza au kudhani kuwa Wamarekani weusi ndio wanajua tshirt nzuri. Wanavaa mat shirt over size hata hayapendezi. Maandishi Rocawear G-Unit, Phat , hamna deal na mtshirt yenu ya kinugu vaeni wenyewe hukohuko Ughaibuni. Michuzi anayesa na t shirt zake anajua mwenyewe alikozitoa hata kama ni MIgoMIGo anatesa huyooooo! Tanua lete manyuuz make money Get rich let them die trying. Word Up Big Michouzy bin Michouzy . Mbongo kutoka unyamwezini atapenda kupata kopi ya singo yako.
brother michuzi from uk hapa nataka nikuletee tishert za primark nyingi kama za pound 30 hivi,usiulize kuhusu primark maana najua wambea watakuvunja moyo nguo ni utunzaji tu kaa chojo mwisho wa mwezi usizime simu.
ReplyDeleteMichuzi unapolekewa Zanzibiar na Kunguru! Yaani hata Kunguru wamesikia sifa zako!
ReplyDeleteSafari njema, tuletee picha safi kutoka huko!
michu asante sana kwa taarifa zako, nawatakia wabunge all the best.
ReplyDeleteSasa wewe Michu vipi tena?? Bungeni tayari kuna wachungaji, tunahitaji wadau wa nguvu kama wewe... sasa huko unakimbilia wapi tena... bongo uwaziri nje nje... hala hala bro katika mawasiliano basi angalau uwe makini usiingie kwenye internet cafe karibu na Keys hotel maana mdau wake, si unajua tena.... na wakati ukianika gagulo hadhari hakikisha yule mtu wa mwisho aliye kuwa kwenye hiyo komputa ya kushea huko zanzibar sio caspium.com mweeehhh!!! Umekubalika wangu sio utani... MICHUZI FOR MINISTER!!! MICHUZI FOR MINISTER!!!
ReplyDeleteISSA HILO GITAA UTAENDA KULICHEZA AU LITAKUCHEZA...HIYO SIO KAMERA MAALIM..
ReplyDeletemwaya michuzi, kapare miwa huko zenji
ReplyDeletemaalimu michuzi mimi nilifikiri kuzamia meli inabidi uwe mafichoni kumbe hata dek!!haya safari njema mjomba.
ReplyDelete