Home
Unlabelled
sauti za busara zaiteka zenji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi nilizania ni show ya u2 huko majuu, kweli Zenji wameendelea, sasa hao wazungu wote hao waliwapata wapi?
ReplyDeleteJamani wapi hapo,Keputauni au Unguja???kweli mseto wa marangi!!!
ReplyDeletezanzibar raha sana kaa hamuamini muulizeni michu
ReplyDeleteKuna vyoo vya kutosha hao wageni, hapo Zenji?
ReplyDeletetuplionyu ingekua hakuna vyoo vyakutosha basi hili tamasha lisingekua kila mwaka nakufana. na kila mwaka ndio watu wanaongezeka
ReplyDeleteBrother Michu, hakikisha Mikutano kama hii inatoa Ujumbe wa kujikinga na UKIMWI pia, zenj ni ndogo sana kama haikuchukuliwa tahadhari ya hali ya juu, tamasha hili linaza lisiwepo miaka 10 ijayo kwa kukosa "audience". Please play your social responsibility!!!!!!!!!!!
ReplyDelete