wadau wa a-taun wakiwa wamefurika madukani kufanya shopingi ya valentine dei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Duh, kumbe Bongo kumekuwa kama San Francisco na Minneapolis. Doh shughuli ipo kwikwikwikwikwwikwikwikwik.

    ReplyDelete
  2. kaka michu mie kitu cha kwanza kuona ni hilo kufuli la makalio na sio watu.hehehehe

    ReplyDelete
  3. Na hilo linaloning'inia mbele ya duka kweli chupi au balaa??je inamaanisha kweli sisi wabongo hatuko nyuma kubugia ndafu na nyama tupu zenye mafuta na hatuko mbali kuyakaribisha magonjwa ya moyo,presha ya damu,stroke,unene (obesity) n.k...
    Wanasema 'HEALTH IS WEALTH!'

    ReplyDelete
  4. Kaka michuzi ama kweli "Mwenye macho haambiwi tazama" jamani hilo ni pazia hamuoni liko mlangoni kwenye katen box lake? kwani nyie mnafikiri ni nini hilo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...