bingwa wa kughani mashairi mrisho mpoto wa parapanda art theatre lab naye kajitosa kwenye utengenezaji wa filamu na hapa nilimfuma akiwa na waigizaji na kruu ya sofia records wakishuti tukio uwanja wa ndege wa julius nyerere karibuni. inaonesha muvi ikitoka itakuwa hevi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ujinga gani huo jamani?acheni kutuaibisha na michezo hiyo ya kitoto...no lighting,no actors,no director,no atmosphere,no props,kwa ufupi this is not even amateur but plain daytime dreaming!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Ujinga gani huo jamani?acheni kutuaibisha na michezo hiyo ya kitoto...no lighting,no actors,no director,no atmosphere,no props,kwa ufupi this is not even amateur but plain daytime dreaming!!!!!!

    ReplyDelete
  3. we anon hapo juu wacha jamaa wafanye mambo kuliko kula vumbi bongo,watakula vumbi hadi makoo yaote ukulutu

    ReplyDelete
  4. mtu unaamua tu kujitosa kwenye udirecta bila elimu yoyote, ni kubaya kweli!! mi aliniudhi tu alipomtapeli dada wa watu aliyemsaidia kutunga nyimbo akasema ye ndo ametoa mchango mkubwa hivyo apewe nusu kwa nusu!! tamaa mbaya.

    ReplyDelete
  5. Jamani hiyo ni video camera!

    ReplyDelete
  6. Ujinga kama huo si mbaya sana kama ukifanyikia vichochoroni...lakini sehemu kama uwanja wa ndege jamani si ni aibu tupu!!! Na hao watu wanaoruhusu majengo ya umma kutumiwa kufanya mambo kama haya wana akili timamu kweli??Sehemu kama airport inatakiwa kuheshimika na siyo kutumiwa na small time crooks kutapeli wananchi..sasa jamani hebu angalieni cameraman anavyotetemeka! hata angle aliyokaa sidhani kama anaweza kupata picha nzuri!!!! jamani....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...