Home
Unlabelled
shopingi a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh, kumbe Bongo kumekuwa kama San Francisco na Minneapolis. Doh shughuli ipo kwikwikwikwikwwikwikwikwik.
ReplyDeletekaka michu mie kitu cha kwanza kuona ni hilo kufuli la makalio na sio watu.hehehehe
ReplyDeleteNa hilo linaloning'inia mbele ya duka kweli chupi au balaa??je inamaanisha kweli sisi wabongo hatuko nyuma kubugia ndafu na nyama tupu zenye mafuta na hatuko mbali kuyakaribisha magonjwa ya moyo,presha ya damu,stroke,unene (obesity) n.k...
ReplyDeleteWanasema 'HEALTH IS WEALTH!'
Kaka michuzi ama kweli "Mwenye macho haambiwi tazama" jamani hilo ni pazia hamuoni liko mlangoni kwenye katen box lake? kwani nyie mnafikiri ni nini hilo?
ReplyDelete