JOHN Nolan, yule raia wa Ireland aliyejaribu kuighilibu Serikali ya Tanzania imruhusu aanzishe mashamba ya kamba (prawns) ambayo yangeiharibu kabisa Delta ya Rufiji, alipata kuliambia gazeti moja la Uingereza kwamba kati ya nchi za "ajabu" alizopata kuishi ni Tanzania.
Nolan aliliambia gazeti hilo ya kwamba Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo Mzungu anaweza kuingia akiwa na dola tano tu mfukoni na akaondoka miaka mitano baadaye akiwa milionea!
Alitoa mfano wa yeye mwenyewe kwamba aliingia Tanzania akiwa hana kitu, lakini 'akatengeneza pesa' akiwa katika chumba chake cha hoteli kutokana na dili walizochonga na viongozi ambao walimwamini kwa kuwa tu ni Mzungu!
UKITAKA MEMNGI ZAIDI YA HAPO TEMBELEA http://kipimautu.wetpaint.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hakuna jambo linalonisikitisha mzungu akiwa Tanzania anavyonyenyekewa.Awe anacho au hanacho.Mradi awe mzungu tu.Hiyo ndiyo kasumba tuliyonayo Tunaamini yakuwa mzungu ni mwenye pesa tu.Wakati katika nchi zao mtu mweusi hana thamani yoyote.Hasa kama huna accent ya kwao ndio kabisaaaa.Kwa hiyo jamani hizi kasumba tuziache.

    ReplyDelete
  2. Rushwa kwetu haiishi daima.Na hii skendo ya BOT,itakuja kuzimika hivihivi.Na hakuna mtu yeyote atakayefikishwa mahakamani.Na kama watu watafikishwa mahakamani ni watu wadogowadogo.Lakini wakubwa wote hawatogusika.Kwasababu ya rushwa iliyopo kila pembe.

    ReplyDelete
  3. inauma sana , inauma sana i dont know what my country has turn to be .. and mind you this is passed over the generations where by every singleone of us will seek to succeed over quick deals that strip our country naked and leave it vulnerable to foreigner vulture, where is our patriotism? what happen to "country come first? i wonder if those who we had vested with authority and power realize their role ,they dont acknowlegde the fact that there is limit to pain endurance,they can't take public and people for a ride forever,will come time people say No and everybody will wonder what hit Tanzania(most peacefully country) and i can seen it coming soon enough trust me..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...