Home
Unlabelled
tutazzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii lazima sumbawanga!
ReplyDeleteHili ni tuta au ni nyoka mnene??
ReplyDeletesitanii, nimeogopa kweli.
Huyo nyoka kwa lugha ya kwetu anaitwa EKIZIRAMIRE...haya wadau hiyo ni lugha ya wapi?naomba kuwakilisha
ReplyDeletewe michuzi hilo tuta au joka?/ Mi hata nikiwa ndani ya gari sipiti nageuza kazima. I can not stand snakes
ReplyDeleteHapo inabidi kujiuzulu na hiyo safari kama alivyofanya Lowasa, Karamagi na Msabaha
ReplyDeleteBajaji hapa haifui dafu baba'ake.
ReplyDeleteDuh, hapa ni wapi aiseee, huyu jamaa anaranda randa to freely hivi.
BABAT - Dar es Salaam
napenda kuuli za je hii ngoma iko hai au ime uliwa?
ReplyDeletemimi ningeingia mitini si wafichi
HII NGOMA SOO BABAAKE INAKUMEZA MZIMA MZIMA DUUU, NJIA YA KISARAWE NINI HII?
ReplyDeleteKaka michu tumeshindwa kumwelewa huyo mdau na picha yake hapo juu. Huyo ni nyoka au gogo? Na hiyo barabara ni ya wapi hiyo? Kisarawe ama bagamoyo shamba? Kwani hajajieleza yakutosha.
ReplyDeleteHilo dude ni MALI kweli, hasa ngozi yake.
ReplyDeleteHawa jamaa wa wanyamapori hawajapata taarifa waje kumchuna?
ngoja msomali apite hapo na Landcruiser lake. atamvuta pembeni na amchune ngozi vizuuuri halafu aondoke nayo.
Watanzania kweli wa ajabu. Si ajabu magari yanaweza kupondaponda.
HIYO NI MALI JAMA.
Duh! mi nilifikiri chatu kalala barabarani! Kama una bajaj itabidi utelemke, manake huo ndio msaada kwenye tuta kama unajipenda!
ReplyDeleteHilo TUTA lazima litakuwa linapumua. bajaji ikikutana na hilo tuta lazima itahairisha safari na kurudi ilipotoka hata kama wese litakuwa limekata.
ReplyDeleteEeeish!!
ReplyDeleteTutazz kama nanihiii ya tembo... KUDADEKI
ReplyDeleteHapa kwa bajaji, nitasubiri hadi hili tuta litoweke, lakini nikiwa na semitrela, napandia hako ka tuta
ReplyDeleteMwenetu hii inaitwa NGATA wale wa vijijini tunoteka maji kwa utosi.
ReplyDeleteowani mwana owani kitunguu na ubani
nyoka kalala njiani tumkanyage kichwani. Tuwapishe wenda kuni na wendao kisimani oo mtotoo oo mtotoo
ah! nakumbuka enzi zileee niko mdogo mamangu alipokua anamchuchiza mdogo wangu ili alale, sasa nikawa naimagine nyoka alale njiani kisha umkanyage kichwani nikawa naipata simple ni kiasi cha kumtimba mara moja,sasa nikiangalia hilo tuta lililotandawaa hapo sijui utaanzia wapi kumkanyaga
Hilo tuta linafanana na lile joka linaloitwa Nondo mla Watu ..Ssssssss
ReplyDeletehuyu nyoka anamiguu nini mbona ni mkubwa namna hiyo?
ReplyDeleteNaomba mnisaidie jina la huyo nyoka kwa kiswahili au kiingereza tafadhali wadau
Michuzi umenitisha jamani,uwiii kama mjamzito ni balaa kuangalia
ReplyDeleteMIchu aisee angalia picha za kuweka..kidogo niitupe coputer..nimeogopa.dah!!
ReplyDeleteJoka la vipi hili? kama vipi itoe hii picha bro
MWTYM
ebana michuzi una uhakika huyu si yule chatu-mtu wa buguruni mwishoni mwa miaka ya '80?Dah,hii imenikumbusha mbali sana.kile kisanga cha chatu-mtu nilikuwa kama darasa la kwanza ama pili,sema kumbukumbu yangu ni ngangari.
ReplyDeletepiga ua hiyo njia iko maeneo ya kisarawe, nakumbuka minaki tulishaua joka kubwa hama hilo, ililokuwa na mimeno mikubwa kuliko hata mbwa! Lili tisha bababke infact lilikubwa kubwa zaidi la hilo hiyo misitu ya pugu ni balaa kwa chatu
ReplyDeleteMichuzi na Wadau,
ReplyDeletehilo sio Tuta... huyo ni Nyoka
kwa haraka haraka nadhani huyo ni ANACONDA, yule nyoka anayepatikana Ameriak ya kusini.
nahisi hiyo mandhari pia imekaa ki-amerika kusini...
ka-mchuzi,Mdau mchina mmoja ameona hii pic, anatafuta cm no. ya ka-mchizi. analitaka JOKA kwa gharama yoyote.Sijui anataka kulila.
ReplyDeleteHapo Lupa Tinga Tinga Chunya...swila la kazi hilo likikunasa basi wewe na bajaj wote ndio mlo wa mchana!!!
ReplyDeletehii kitu inaitwa sawaka, nilienda kijijini kwa bibi dec hii ngoma huwa inakatiza barabara kila jioni kwenda mtoni kunywa maji, inakula mbuzi ka haina akili nzuri.
ReplyDeleteAisee hii ni nadra sana kutokea! huwa hawa 'Wadudu' (kama wanavyo julikana maeneo ya Pwani)hawavuki barabara mchana mchana namna hiyo,labda alikuwa anaepuka moto ulowashwa na wanapori fulani,au alikuwa na KIU cha maji.safari zao huwa ni usiku mara nyingi.
ReplyDeleteAnyway inanikumbusha sana Maeneo ya Nyumbu,Msangani(Kambi za Jeshi)Mkoa wa Pwani.
Na ndio maana huwa najiuliza kila siku huyo Eva/Hawa alikuwa kabila gani? Maana angekuwa mswahili angemwambia snake, ngoja kwanza nikaombe ruhusa kwa mume wangu (Adam) Na angekuwa mchina, aah huyo snake angekula kipondo, nyama ikaliwa ngozi ikatengenezwa viatu na kipochi. Na hapo hiyo picha hao wachina wa Dar wakiiona watatafuta hapo mahali mpaka wampate huyo snake.
ReplyDeletehapo ni mlima kinyanyiko-kisarawe karibu na shule ya seco ya minaki.hilo joka lipo maeneo hayo tangu mi nabukua hapo miaka ya tisini mwanzoni.
ReplyDeleteHii Kitoweo KIBAHA nini??mdau hebu tupe ufafanuzi kidogo.
ReplyDeleteHao CHATU walikuwepo pale UDSM Campus. Kuna moja alikuwa anaishi kwenye bonde karibu na nyumba ya Mzee Biswalo. Halafu kuna couple walikuwa wanakaa bonde la Kileleni Rd. Na kulikuwa na mwingine kwenye ile bonde la Ubungo/Polisi Flats za Campus karibu na Engineering. Huyo alikuwa hana haya, anatoka mchana mchana anakula kuku halafu anarudi zake kwenye bonde!
ReplyDeleteHii ni lazima ni Tanzania kwa sababu hakuna lami barabarani.
ReplyDeleteDuhh, Chemi Unakumbukumbu! ni kweli kabisa nakumbuka wakati fulani nikitokea maeneo ya Hall II,nikielekea Udasa club,nilipata kuliona moja karibu na Iliyokuwa nyumba ya akina Abuu Maghimbi...long time!!
ReplyDeleteNgozi dili hiyo unapata pair kazaa za viatu hapo. Mimi ningemtwanga risasi ya kichwa ili nimchune ngozi hiyo kiatu chake si chini ya $600/pair.
ReplyDeleteThat thing is scary bro!!i almost feel like its going to come through the computer screen.
ReplyDeleteAudhubillahi mindhalika,Michuzi unaweza ukaua mtu na picha kama hizi.Kitu kimetulia katikati ya barabara,ila nimekata mbavu na maoni ya wadau.
ReplyDeleteAcheni masihala,hilo treni la kitanzania sijawahi kuliona na utuuzima wangu huu.Inaniwia vigumu kulijua jina lake kama ni la tazara,tra au viberenge vya mkonge!kwenye uchatu,usawaka,ukoboko, hayupo,hii kazi kwelikweli huko aishipo atakuwa malikia au mfalme.
ReplyDelete