twanga pepeta imezidi kutia fora huko muscat kwa shoo zao ambazo ni gumzo kwa kila aliyeiona

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mhh hawa wakiwa home wanavaa kiajabu too open nchi za watu wanajifunika hehehe haya

    ReplyDelete
  2. Dizaina wao nani hawa mbona wanavaa kiajabu kama alosto hivi.

    ReplyDelete
  3. Mmh safi sana kwa arabuni hakuna jinsi hivyo walivyvo vaa ndivyo inavyotakiwa. Hongereni kwa kuonyesha ustaarabu wa mavazi kutokana na mahala mlipo. Nimeskia makamuzi yao yalikuwa si mchezo katika hiyo Muscat Festival

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...