lilian internet akiongoza safu ya ushambuliaji ya twanga pepeta kabla bendi hiyo haijapaa juzi kuelekea muscat, oman, ambako watafanya shoo za kila siku kuanzia jana jumamosi hadi februari 15, 2008. wanatarajiwa kurejea bongo februari 17, 2008

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Wsisahau kumchangia na Aisha Madinda tu!!!

    ReplyDelete
  2. Hivi hizo chupi na masheikh wa kiisalm katika nchi ya kiarabu vitaendana kweli? Msishangae mkisikia kikosi kizima kimetiwa ndani.

    ReplyDelete
  3. Jamani niwaonye...waarabu kweli mabasha,mtatongozwa mpaka asubuhi!!!wakitaka watapata kwani mkisema NO...basi viboko!Lakini kweli Muscat hapo au vichochoro wa Gongo la mboto???

    ReplyDelete
  4. wadau wapi Fatuma "mashine" wa twanga pepeta yule mtoto mwenye chachandu ya gold kiunoni ??? seriously naomba contacts zake!!!

    ReplyDelete
  5. wewe usiongee kitu huko uarabuni wanapenda sana kuona haya mambo....mchana kimya lakini usiku ....mh mh mh....wanasema magazeti ya playboy yanauzika kweli huko uarabuni....Sasa vibukta hivi vitauzika tu saaana

    Lazima walifanya research hao hawakwenda tu kichwa kichwa...kwani hawajipendi wenzako

    Uliza walikuta nini kama collection kwenye nyumba za watoto wa sadam.....

    ReplyDelete
  6. hovyo! yaone vile mijitu mizima mimama kukaa utupu na kukatikakatika mbele ya watu, sasa hiyo nayo ni kazi! na kama huko uarabuni si kutudhalilisha tu waafrika hasa watanzania! eti wanafuata pesa nzuri, ziko wapi mbona hatuzioni..kama kukatika nako kazi na kunazalisha pesa mbona aisha madinda anashindwa kujitibu!.... watanzania acheni kulala somesheni watoto msikalie kuwa wasanii wajinga!
    Inanikera ndo maana nasema!

    ReplyDelete
  7. Hahaaha, Wabongo bana, yaani kila topic lazima kuwe na comments nyingi za kukandia, anyway ndio freedom of speech hiyo.

    ReplyDelete
  8. Si kuuza magazeti ya Playboy tu, Uarabuni karibia nchi zote zinazojifanya dini ya kiislam imewakaa hususan waarab ndio wanaongoza kuangalia Internet porn ile ya Gays. Yaani hawa kwa kufilana ndio zao. Michuzi bandika hii watu wajue ukweli. Huyu anayesema mimama mizima imavaa michupi ana akili ama? Hii ni kazi tena entertainment, watu wengi hupend kwenda kweny hizi show for that. Marekani people go to shows like these for the same thing, too. Kama una hasira na hawa warembo we jichinje tu, tutakuokota.

    ReplyDelete
  9. unayesema hawapati hela sio wao tu nchi yetu career zetu zote watu wengi wako under pay...wangecheza USA hao kwa usiku mmoja wanondoka na zaidi ya $500...bwana mastripper huku wanahela ..wanishi vizuri sana kwa wale wasiotumia poda maisha yao poa sana......ni kazi kama kazi nyingine tu...na kunastripper don't touch..you just look and pay....anakuchezea lap dance unalipa ....hawataki kuguswa na wanama body guard...mwee wanaendesha magari ya nguvu wanaishi nyumba za maana...wako wanafunzi wengitu wamejilipia college tuition fee na kukata viuno

    ReplyDelete
  10. wewe michuzi ni muisilamu lakini unatutukanisha waisilamu wenzio tukiweka coment za kuwashambulia viongozi huziweki ila hizi za kutukanwa sisi mbele mbele tetea dini yako wewe wacha kuwafurahisha wasiokua waisilamu utajutia nafsi yako nakwambia

    ReplyDelete
  11. we anony wa 9:15 acha ujinga kuusingizia Uislamu mambo ya ajabu ajabu. Sikiliza sasa nikwambie kuna tofauti kubwa sana ya kati ya Uislamu na nchi za Kiarabu au nchi waishio Waislamu wengi... hizo nchi unazozitaja na kujifanya unajua, hujui lolote na hayo unayosema si kweli..kuna nchi mbili tu za Kiislamu rasmi na hizo ni Iran na Saudia, na katika nchi hizo hakuna makasino, kucheza cheza uchi na mambo kama hayo, na kama yapo ni kwa uficho na serikali haijui..ushawahi kusikia kina madinda wakialikwa saudia au Irani?..kwa sababu nchi hizo wanafuata mafundisho ya kweli ya dini ya uislamu na mambo hayo na mwengine ni makosa ya jinai!... Nchi za kiarabu kama dubai...mambo hayo yapo lakini kwa kiasi kikubwa ni kwa ajili ya wageni, hao wamagharibi ndo wenye balaa hilo la usenge na usagaji na wamejaa katika nchi hizo..Usijifanye unaishi Marekani huku ukweli wa nchi hiyo hujui...masuala ya gays and lesbians rights katika nchi kama hizo ni ya kawaida na yanafanywa hadharani..usiwasingizie waarabu bure wakati balaa lote linatoka Marekani na ulaya..ni nchi ipi ya kiarabu iwesema gays na leabians ni sawa? ..basi acha kusingizia Uislamu na usisema usojua kuhusu dini za watu....kama watu wanafanya katika nchi za waarabu ni matashi yao lakini havina uhusiano na Uislamu dini tukufu ya Mungu!Kama vile ambavyo yanayofanyika katika nchi zenye Wakristo wengi haina maana Ukristo ndo umeruhusu wafuasi wake wafanye hivyo!
    Nawakilisha!

    ReplyDelete
  12. We annon Tuesday 5, 12:34 issue hapa si Uislamu. Ni facts. Ni kweli kabisa watu wengi wa Middle East, hasa Waarabu wanaishi double standard life. Kule Uarabuni wanakemea sana vitu kama hivi na ukifumwa umesisima na mwanamke, hasa kule Egypt, unaweza kuuwawa! Lakini hawa watu ukiwakuta wamekuja hapa Ulaya, unashindwa kuelewa! Yaani wanakunywa pombe, na kufanya vitu vy ajabu ajabu sana ambavyo mtu wa sehemu nyingine hawezi!

    Yote hii ni kunyimwa uhuru nchi zao kwa kutumia blanket la dini! Waachwe watu wafanye vitu vyao kwa uhuru na mwenye kutaka dini atafanya dini na asiyetaka mwache aende zake. Kulazimisha ni hatari sana.

    Michuzi weka hii comment wote wajue kinachoendelea duniani.

    ReplyDelete
  13. hapa sio uisilamu unaoongelwa ni waarabu ...sasa kama umeona hizo nchi ni za waislamu na hilo likakukera msimlaumu Michuzi he knows better...wengine mmekalia udini tuuuu...wakati watu wanaongelea nchi za uarabuni kukataa mambo mengine hadharani lakini chini ya mvungu yapo kila kona.

    Hamna mtu au dini perfect ulimwengu huu..Mungu ndiye anayejua yote ...na nyie mnaokalia mambo ya udini kufinger point oh dini yetu hivi dini yao vile ndio wabaya sana...keep your faith up na kama unataka kujua why other people believe this or that it is okay lakini mambo ya kusema sema dini yanapitwa na wakati...

    Ni mambo mangapi din iya kikristo, jews, uisilam wanakataza lakini still kunawatu wanafanya...tatizo sio dini nyie mnaolalamika ni mtu na mtu.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...