HEY KAKA MAMBOOZZZ,
aisee ngoja nikupe pongezi ya blog yakooo, iko juuu mbaya,,,
sasa, mi nilitaka kitu kimojaaa, unajua naishi ufaransa, sehemu inaitwa Brest (West France) halafu namjua msela mmoja tu ambaye naye ni mmbongo (Remmy R), hivi its possible kujua kama kuna masela wengine in this region of france au ni sisi tuuu... nimeshakaa hapa zaidi ya miezi 6 na ndo huyo tu msela wangu tunayefahamiana...
hey thanks a lots ma brother.
Au revoir, mon ami.
allen matari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Alinooo mwana staff ya bien!! Mwanangu umepinda mpaka unatuma request michuzi duhhh ! kweli we modele !!! teh teh teh !

    ReplyDelete
  2. Aaaaaaaaaaaaah!! Na wewe acha ufala!! Andaeni ka bash kakishkaji na mkaadvataizi kiaina mtawaona tu wabongo wanavopenda kujirusha.

    ReplyDelete
  3. Wadau hamjajua tu, haka katoto alen anataka kutuarifu tu kuwa tuko ufaransa kamfata mama yake huko. Wapo wakina haika na kina Tino na wengine kibao. na huwa unakutana nao sasa inakuwaje unasema yuko remmy tu. Hukui tu. kaka michu usiibanie hii.

    ReplyDelete
  4. aisee masellla , acheni uzushiiii
    mi niko serious,,, full kujitegemea mazeee,,
    tatizo nyie mlioko USA, ndio mko wengi, lakini si wengine tuku kisela tuuu,,,, wabongo hamna kabisaa aiseee;;;

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...