Michuzi,
kuna hii habri huenda ikawa njema kwa sekta ya utalii wa bongo.
Ingawa sina hakika kama waheshimiwa wetu na watafiti wa wizara husika wanajua kilichokuwa kinaendelea, maaana najua kila mmoja alikuwa akijiwahi na kuifilisi nchi.
'Bizarre' new mammal discovered
**A new species of elephant shrew is discovered in Tanzania, scientists report. http://news.bbc.co.uk/go/em/fr/-/2/hi/science/nature/7213571.stm >


Mwanangu wa pili nitamuita - Rhynochocyon
ReplyDeleteHIZI NEWS NIMEZIONA JANA KWENYE LOCAL NEWS ZETU HUKU NORTHANTS,ILIKUA NAENDA KUMTUMIA MICHUZI,SIJUI KAMA WATANZANIA WANAJUA AU NDO YALE WA UGHAIBUNI WATAFAIDIKA KULIKO WATANZANIA WENYEWE ESPECIALLY HAO WANAO ISHI HUKO UDZUNGWE/UDZUNGWA MOUNTAIN(I APOLOGISE FOR MY BAD GEOGRAPHY)I THINK FROM WHAT THEY REPORTED IT'S AN ENDANGERED SPECIES AU NI KAMA ALIVYO SEMA MDAU IT'S A NEW SPECIES CALLED ELEPHANT SHREW,AMEKAA KAMA PANYA LAKINI ANA MDOMO MREFU KAMA TEMBO NDIO SABABU YA KUPEWA JINA HILO KWA TAARIFA ILIVYO SEMA KWA SABABU NI ENDANGERED SPECIES WATAANZA KU MONITOR HILO ENEO,SWALA LANGU WANA MONITOR KAMA WAO NANI?AU HIZO MOUNTAIN AREA ZIMESHAUZIWA WAGENI PIA?NEWS IMEONYESHA WALIOTUMIKA KUSAIDIA KUPATIKANA HUYO MNYAMA NI LOCAL TANZANIANS VILE WANALIJUA ENEO VIZURI.NAVYO FIKIRI MIMI IDARA ZINAZO HUSIKA ZINGE MONITOR HAWA MA SCIENTIST,WATAFAIDIKA KWA KUUZA STILL PICTURES NA PIA PROGRAMMES ZA MNYAMA HUYU MMOJA BILA NCHI YETU KUFAIDIKA KWA CHOCHOTE.MICHUZI FIKISHA HABARI ZINAPO HUSIKA WAANZE KU MONITOR HII ISSUE.
ReplyDeleteNasikia wamegundua 'species'mpya kule ulaya...wakimbizi wabongo!!!
ReplyDelete