


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mie mama wetu wa kwanza namzimia sana yupo vizuri"ana mvuto"huwezi kumlinganisha na mama wa kwanza aliyepita.Keep it our First lady.
ReplyDeleteMdau wa London
kwahiyo wababa walikuwa wanafanya kazi nyingine na wamama wanafanya kazi safi hiyo jamani mama kikwete anapendeza sana she is always stunning, sparling I like u mama u derseve this position
ReplyDeletewamarekani washenzi kweli sasa ndio ambulance gani hilo. what kind of comfort mgonjwa atapa humo hata paramedics watawezaje kutoa huduma ?wasituzalilishe sie wapenda misaada. they can do better than that kama kweli wanataka kusaidia nchi.wangesema labda wanatoa gani kwa wagambo wa ikulu tungeelewa ila sio ambulance.shenzi type kwa muhusika wa hii idea ya kutoa hichi kigari.
ReplyDeletemkereketwa
Wow!!! First Lady wetu anajua kupiga pamba! Siku zote anapendeza! Mpaka raha yaani. Hapo hata wanawake wa ki'naigeria hawatii mguu!Lol
ReplyDeleteAMBULANSI HII IPELEKWE VIJIJINI WANAKOHITAJI FOUR WHEEL DRIVES DAR HATUHITAJI HIZI TUNAHITAJI MICROBUSES NADHANI HAWA WENZETU WALIDHANI DAR NI BUSH SANA.
ReplyDeleteAnon feb 18. 5:58 Tena hana makuu mama wetu, anavaa kitenge hata cha Tshs 4000/- na hicho alichovaa ni Tsh 15000/= tu hana makuu mamitu mzalendo halisi, ila hicho cha elfu nne mali ya tz akikipangia utasema tuu, wawaaaaa mwanamke mwenzetu tuko nyuma yako mamitu.
ReplyDeleteKUNATATIZO LA KIUFUNDI KATIKA UVAAJI WATU WA ITIFAKI MLIKUWA WAPI MSIMVALISHE MAMA BUSH VAZI LA KIAFRIKA? NAOMBA KUWAKILISHA...
ReplyDeleteANON WA 1:22PM NAKUBALIANA NA WEWE MAMA LAURA KICHAKA NAE SHURTI ANGEPEWA TENGE LAKE,ANGEKUMBUKA HILO VAZI MAISHA.
ReplyDeleteAcheni ushamba nyie! Mnataka mletewe ma Chevy Vans (4.2L, aut.Acc, ABS, SIPS, ESP nkna inakula futa 25l/100km )ili muende nayo kwa wakwe? Naamini wametoa hayo ma Land Rover kwani tuna uzeefu nayo, hayo ni roho ya paka, private owned ni chache( spare hutaiba) na running cost (gas, servicing etc) yake ndogo. Pia Dar gani mnaizungumzia? Njooni katika mabwawa ya mitaani na hizo Minibuses zenu. Wote mnaelewa kuwa ukichopoka tu barabara kubwa, basi hakupitiki. Ongeza na mvua za bongo....
ReplyDeleteKama ni raha kwa mgonjwa, suspension inaletwa kivyake. Ukiwa sick, raha ya gari huifikirii.
Serekali yetu haitujali, tuseme asante kwa Kichaka kutupatia angalau hiyo .
Blackmpingo
Kweli jamani Salma huwa anapendeza sana na ana mvuto wa pekee...bahati nzuri hakuna amri inayosema usimtamani mke wa raisi wako....Hongera sana mke wa JK!!
ReplyDeleteAnon wa 1:22 mi nilitaka kusema ila nikaogopa wale wenzetu waosha vinywa wa kule walioko majuu ukerewe mara utaambiwa hamjui nyie hiyo suti ya mama wa kichaka ni buleti prufu,kwa ajili ya ulinzi wake ah wajemeni! kaaazi kweli kweli.
ReplyDeleteTena angelienzi kwelikweli akikumbuka safari yake ya Africa na jinsi alivyopokelewa kwa ukarimu, wangepiga picha wote wamevaa kiafrika loooo ingependeza sana
kuhusu gari la wagonjwa jamani zawadi ni zawadi kupokea usichoke. jamani kaja na gari hilo mwanakwetu nasi tumpe hata kitenge si lazima alete nsenene
Jamani huyo mama bushi mpigeni kitenge cha kisawasawa pamoja na remba!
ReplyDeleteJamani watz tuwe na moyo wa shukraninpale tunapopewa kitu kwani kabla ya kupewa msaada huu wagari hata bajaji hatukuwa nayo katika kitengo hiki je mlitaka muwe mnapanda baiskeli kupeleka wagonjwa mpaka lini ,mimi nakushangaa sana wewe uliyesema ambulance gani hata ulaya kuna baadhi ya hospital wanatumia aina hii ya gari ,kweli tunataka maendeleo ya kweli jamani wakati hata mkipewa kidogo cha kukufikisha mahali mnasema sema kaaaa yaani umeniudhi sana wewe uliyekandia hii gari ipo siku utajikuta umelipanda ushangae na roho yako .
ReplyDeleteMAMA Salma anavutia kwa kila pamba anayopiga hata mkimpa kaniki itamtoa chicha tuu mamam wawawa mwendo mdundo hata ukienda majuu unapiga tenge lako tu achana na masuti sometimes