Mama wa kwanza wa Marekani Laura Bush akimkabidhi gari la wagonjwa Mama wa kwanza Salma Kikwete katika ofisi za Taasisi ya wanawake na Maendeleo(WAMA) jijini Dar
Mama wa kwanza Salma Kikwete na Mama wa kwanza wa Marekani Mama Laura Bush wakizindua The National Plan of Action, Pamoja Tutaweza,katika ofisi za WAMA jijini Dar es Salaam leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Mie mama wetu wa kwanza namzimia sana yupo vizuri"ana mvuto"huwezi kumlinganisha na mama wa kwanza aliyepita.Keep it our First lady.
    Mdau wa London

    ReplyDelete
  2. kwahiyo wababa walikuwa wanafanya kazi nyingine na wamama wanafanya kazi safi hiyo jamani mama kikwete anapendeza sana she is always stunning, sparling I like u mama u derseve this position

    ReplyDelete
  3. wamarekani washenzi kweli sasa ndio ambulance gani hilo. what kind of comfort mgonjwa atapa humo hata paramedics watawezaje kutoa huduma ?wasituzalilishe sie wapenda misaada. they can do better than that kama kweli wanataka kusaidia nchi.wangesema labda wanatoa gani kwa wagambo wa ikulu tungeelewa ila sio ambulance.shenzi type kwa muhusika wa hii idea ya kutoa hichi kigari.
    mkereketwa

    ReplyDelete
  4. Wow!!! First Lady wetu anajua kupiga pamba! Siku zote anapendeza! Mpaka raha yaani. Hapo hata wanawake wa ki'naigeria hawatii mguu!Lol

    ReplyDelete
  5. AMBULANSI HII IPELEKWE VIJIJINI WANAKOHITAJI FOUR WHEEL DRIVES DAR HATUHITAJI HIZI TUNAHITAJI MICROBUSES NADHANI HAWA WENZETU WALIDHANI DAR NI BUSH SANA.

    ReplyDelete
  6. Anon feb 18. 5:58 Tena hana makuu mama wetu, anavaa kitenge hata cha Tshs 4000/- na hicho alichovaa ni Tsh 15000/= tu hana makuu mamitu mzalendo halisi, ila hicho cha elfu nne mali ya tz akikipangia utasema tuu, wawaaaaa mwanamke mwenzetu tuko nyuma yako mamitu.

    ReplyDelete
  7. KUNATATIZO LA KIUFUNDI KATIKA UVAAJI WATU WA ITIFAKI MLIKUWA WAPI MSIMVALISHE MAMA BUSH VAZI LA KIAFRIKA? NAOMBA KUWAKILISHA...

    ReplyDelete
  8. ANON WA 1:22PM NAKUBALIANA NA WEWE MAMA LAURA KICHAKA NAE SHURTI ANGEPEWA TENGE LAKE,ANGEKUMBUKA HILO VAZI MAISHA.

    ReplyDelete
  9. Acheni ushamba nyie! Mnataka mletewe ma Chevy Vans (4.2L, aut.Acc, ABS, SIPS, ESP nkna inakula futa 25l/100km )ili muende nayo kwa wakwe? Naamini wametoa hayo ma Land Rover kwani tuna uzeefu nayo, hayo ni roho ya paka, private owned ni chache( spare hutaiba) na running cost (gas, servicing etc) yake ndogo. Pia Dar gani mnaizungumzia? Njooni katika mabwawa ya mitaani na hizo Minibuses zenu. Wote mnaelewa kuwa ukichopoka tu barabara kubwa, basi hakupitiki. Ongeza na mvua za bongo....
    Kama ni raha kwa mgonjwa, suspension inaletwa kivyake. Ukiwa sick, raha ya gari huifikirii.
    Serekali yetu haitujali, tuseme asante kwa Kichaka kutupatia angalau hiyo .
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  10. Kweli jamani Salma huwa anapendeza sana na ana mvuto wa pekee...bahati nzuri hakuna amri inayosema usimtamani mke wa raisi wako....Hongera sana mke wa JK!!

    ReplyDelete
  11. Anon wa 1:22 mi nilitaka kusema ila nikaogopa wale wenzetu waosha vinywa wa kule walioko majuu ukerewe mara utaambiwa hamjui nyie hiyo suti ya mama wa kichaka ni buleti prufu,kwa ajili ya ulinzi wake ah wajemeni! kaaazi kweli kweli.

    Tena angelienzi kwelikweli akikumbuka safari yake ya Africa na jinsi alivyopokelewa kwa ukarimu, wangepiga picha wote wamevaa kiafrika loooo ingependeza sana

    kuhusu gari la wagonjwa jamani zawadi ni zawadi kupokea usichoke. jamani kaja na gari hilo mwanakwetu nasi tumpe hata kitenge si lazima alete nsenene

    ReplyDelete
  12. Jamani huyo mama bushi mpigeni kitenge cha kisawasawa pamoja na remba!

    ReplyDelete
  13. Jamani watz tuwe na moyo wa shukraninpale tunapopewa kitu kwani kabla ya kupewa msaada huu wagari hata bajaji hatukuwa nayo katika kitengo hiki je mlitaka muwe mnapanda baiskeli kupeleka wagonjwa mpaka lini ,mimi nakushangaa sana wewe uliyesema ambulance gani hata ulaya kuna baadhi ya hospital wanatumia aina hii ya gari ,kweli tunataka maendeleo ya kweli jamani wakati hata mkipewa kidogo cha kukufikisha mahali mnasema sema kaaaa yaani umeniudhi sana wewe uliyekandia hii gari ipo siku utajikuta umelipanda ushangae na roho yako .
    MAMA Salma anavutia kwa kila pamba anayopiga hata mkimpa kaniki itamtoa chicha tuu mamam wawawa mwendo mdundo hata ukienda majuu unapiga tenge lako tu achana na masuti sometimes

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...