zantel ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha la sauti za busara wanawakilishwa na wadau hawa baada ya kumwaga milioni 150 kwa miaka mitatu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. bulla looking good..wakilisha

    ReplyDelete
  2. hehehe bulla hauko nyuma mdogo wangu last time walimsifia sana mumeo leo naona umeamua uwe naye karibu ili tukuoneni hahahahaa mmependeza sana kama sio engineer vile.

    ReplyDelete
  3. Deo Kwiyukwa nakuona umetulia poa sana mdogo wangu ,fanya kazi kwa bidii na maarifa endeleza heshima ya nazareti (Buha ) , peace out playmaker Buha/Risasi .

    ReplyDelete
  4. Dogo Zai naona umetulia mwenyewe , poa sana do what you got to do man , endeleza heshima na adabu ya Nazareti (Buha) popote uendapo .
    Peace Out Playmaker Buha/Risasi/Kanda ya Magharibi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...