fundi wa umeme ya magari, maneno, akianika juani dokumenti zake muhimu zilizoloa. yeye ni mmoja wa wahanga wa mvua ya jana dar, ambapo kila kitu alichokuwa nacho mfukoni kilitota

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mhhhhh tzzzzzzzzz kweli hali mbaya sasa maana mvua ndio imekuwa kitu cha hatari sana lakini tunafurahi kufahamu zaidi kila kitu tunashukuru sana bwana Michuzi.

    ReplyDelete
  2. naona visa, MASTERCARD, DISCOVER PLATINUM,AMERICAN EXPRESS,WALMAT GIFT CARD,HEALTH INSURANCE CARD,GOLD GYM MEMBERSHIP CARD na DRIVER`S LICENCE.
    Mdau, Mtoni Mashine ya maji.

    ReplyDelete
  3. Tujifunze kutotembea na document zoooote hata zile ambazo hazitumiki siku hiyo!!! Naona picha ya mdada fulani hapo pembeni bila shaka atakuwa ni My wife wake...safi sana fundi umeme wa magari!!

    ReplyDelete
  4. ni umeme YA magari au umeme WA magari?

    ReplyDelete
  5. Hao ndio wale wale wasanii wa Posta,

    Ofisi ni mtu aliposimama,

    we mtu mmoja madocument kibaaaaaoooooo,

    Huyo jamaa hapo alipo anaweza hata kukuchongea pasport, au hata viza kabisa ukipenda, unampa dk 2 tu

    ReplyDelete
  6. NAONA BILLZ KWA MBAAAAALI

    ReplyDelete
  7. Maneno tafuta ofisi sasa, Msalimie sana Benja. Ni mimi mdau wako Jos Kamali Samora

    ReplyDelete
  8. Michuzi (sinia) andika Umeme wa Magari sio Umeme ya Magari.

    (mswahilina@gmail.com)

    ReplyDelete
  9. DA LANGO LA BILLICANAS LILE....SIPATI PICHA ENZI ZANGU..KILA J/MOSI NATIA TIMU...DA HII PICHA IMENIKUMBUSHA MBALI SANAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...