Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Definetely hili ni tangazo...swali: Analipia kutangaza ???? au ni janja yake ????

    ReplyDelete
  2. Muhidin don't be fooled by this woman,akulipe.This is an advert.Shauri yako,wewe lala tu kama bwege(Usiibane hii tafadhali shehe).

    ReplyDelete
  3. Wewe anony hapo juu huna cha kuuliza? Ni matangazo mangapi yanawekwa humu mbona ujauliza au una chuki binafsi kakuchukulia nani?Gadna?Jdee mwendo mdundo kaza buti mama siku hazigandi achana na wasiochoka kusema

    ReplyDelete
  4. HAYA MICHUZI TUMEONA.

    ReplyDelete
  5. Michu matangazo weka kwani wanakusaidia kulipia blog? Jide congrats!

    ReplyDelete
  6. Muziki wake sawa unatoa burudani, ila hakuna ulinzi watu wanaingia na silaha ukizingatia jamaa yake mwenyewe Captain G. Habash alikula vibao hadharani wiki iliyoisha kutoka kwa mdau mmoja aliyedai jamaa alitamani mke wake. Wapambe walipotaka kutetea jamaa alichomoa bomba hadharani. wacha wapambe wawe wadogo kama vifungo. mbele ya pistol baba... ni mkuku tu. ya nini tabu ya kutaka usterling wa kihindi kukwepa risasi... mie nawakilisha tu

    ReplyDelete
  7. Michuzi haya matangazo hakikisha watu wanakulipa, unapoteza muda wako mwingi sana kwenye kuiendesha hii globu, wakati wewe unahangaika na kifulana chako cha kauka nikuvae wenzio wanatengeneza pesa, shauri lako ni ushauri tu. Hakuna cha bure duniani siku hizi. Waambie wakitaka bure wasubiri ahera

    ReplyDelete
  8. jamani acheni wivu wa maendeleo,mbona nyie mnaweka picha zenu kwenye blog?mnamlipa michuzi?acheni majungu bwana big up jide..binti machozi!!big up michuzi songa mbele baba na blog ya jamiii

    ReplyDelete
  9. Lady Jay Dee, ninakufagilia dada yangu hasa kwa wimbo wako wa "SIKU HAZIGANDI".

    (mbarikiwa@gmail.com)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...