Home
Unlabelled
aisha madinda arejea ulingoni kwa kishindo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nido toto zuri Aisha kamua kwa sana tu, walitaka kukupiga kipapai wajinga......Mganag Mungu au vipi!!!!!!!!yeah kamua mamaa
ReplyDeleteJamani hizi fasheni nyingine zitawaua wabongo.
ReplyDeleteHivi viatu vinavyovaliwa wakati wa baridi huku ulaya, huko Bongo joto lote hilo mwanamke siutangua miguu wewe!
Labda mliwaletea zawadi muwaletee zinazofaa kwa mazingira na hali ya hewa ya bongo,lakini msipozingatia hilo as long as zawadi imetoka ng'ambo!baadhi ya wabongo huwa hawajali bali wanatinga tu!lakini huenda alikuwa anasikia baridi miguuni si alikuwa eti anaumwa miguu na pale kilabu life ni fulu AC.
ReplyDeletesi kweli sometimes hata huku ulaya watu wanavaa boots, acha ushamba
ReplyDeletewewe anonymous 2, hivi unadhani wanacheza barabarani mchana! hata maisha kuna ac, au hilo hulitambui, mwache dada wa watu kapendeza loh!
ReplyDeleteMdau unaeshangaa viatu mbona hujashangaa hiyo trouser nyekundu? Watu wanafunika mambo flani bana!
ReplyDeleteBasi mtashangaa hadi huo ulimi alioutoa nje. Waswahili mkikosa la kusema mtatafuta kijisababu tu... ili mradi mseme. Nani alikwambia kuwa boots alizovaa ni za baridi tu? Mie mwenyewe naishi ukerewe naona mademu wa kizungu wanakula boots hata iwe summer.
ReplyDeleteNengua mama, umejaaliwa kiuno unacho....
Wewe anonymous 2 sijui unakaa ulaya ya wapi. Na kama upo ulaya basi umewekwa ndani toka ufike kiasi kwamba hujui yanayojili huku nje. Bibie hapo juu kavaa leather boots, hiyo inavaliwa wakati wote. Acha ushamba
ReplyDeleteNI JAMBO LA KUFURAHI SANA KWA ASHA KURUDI ULINGONI KWA KWELI MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE BILA NGUVU MLO HAUENDI.
ReplyDeleteUSHAURI KWA MWANADADA HUYO APATE HOSPITALI NZURI AMBAYO ITAWEZA KUUPIMA MOYO WAKE KISA CHA MIGUU KUJAA MAJI INAWEZEKANA IKAWA KUNA SHIDA KWENYE MOYO INAWEZA KUTOKEA TENA BAADAYE, PIA USHAURI WANGU NI KWAMBA DADA YETU AJITAHIDI SANA KUFANYA STRETCHING NA WARM UP KABLA YA KUINGIA KUCHEZA SHOW AU MAZOEZINI PIA MASAJI NI MUHIMU SANA KILA WEEK.www.kipepeotours.com
Jamani acheni ushamba, mwanamke wa kiafrika akivaa boots za ngozi wakati wa summer ulaya basi bado mshamba na atakamatwa na fashion police LOL
ReplyDeleteHizo boots hata wazungu hawazivai kabisa wakati wa summer, wanavaa viatu vya wazi. Sasa huko Bongo jote lote hilo hata ni usiku utavaaje mingozi iliyopanda mpaka juu.
Anayesema ni sawa kuvaa wakati wowote basi na yeye ni mshamba.
Mimi si comment kwa ajili ya dada Aisha kuvaa hivyo viatu,ni mtanzania kwahiyo sioni ajabu,she doesn't know any better.Mradi fashion imeingia acha tutinge.Lakini nyie mnao jitia leather boots zinavaliwa wakati wowote, you need your heads checked.Leather boots are for providing heat during cold weather,vipi kwenye summer ukajitie boots si utadondoka kwa joto.Au kwenye winter ukavae open toe shoes si unaishia na hypothermia.Au jitie leather coat kwenye summer si utazimia.Huyo kama ametoka kuumwa miguu siana hitaji good circulation kwenye hiyo miguu vipi anaenda kuibana na viatu namna hiyo.Ovyoooooooooooo
ReplyDeletenashangaa kuona viatu vya winter kuvaliwa bongo na mdada huyo!!!!jamani hivyo ni vya msimu wa baridi na io kwenye joto kama dar!!tuelimike sio kufuata mkumbo!!!!
ReplyDeleteThere's nothing WRONG with the boots, i've seen galz wearin the same kinda boots durin summer n winter in Toronto. Plus she's wearing them during performance, wats wrong with that. She's performing she gotta luk gud demm people, give her some credits n not criticizin. Watu acheni ushamba.
ReplyDeletenaungana na anony wa 7.45pm kwamba leather boots bongo uongo. joto la kufa mtu halafu unalivalia boots??. na hao ma anony wanaosema ni poa kisa wazungu wanavaa boots summer time pia washamba.mzungu kuvaa kitu sio guarantee kuwa ni poa watu wengine kuvaa. wote hao wazungu na huyo madinda wakamatwe na fashion police..period..
ReplyDeleteJAMANI JAMANI, MIE NIKO AMERIKA MIAKA NENDA RUDI, NINA BOOTS 50 PAIRS OR MORE. ANYWAYS, SIJAWAHI KUZIVAA IN SUMMER TIME, NA WALA SIJAWAHI KUMWONA MTU AMEZIVAA WAKATI WA SUMMER ZAIDI YA BRITNEY SPEARS:(.
ReplyDeleteDAR ES SALAAM NIMEENDA HATA SANDALS NIKAZIONA ZINANIPA JOTO LA KUFA, I CAN IMAGINE MTU KAVAA BOOTS! THE SAME GOES TO SWEATERS, THEY ARE FASHION ONLY ON WINTER TIME!!!!
HUYU NI MOTHER EASTER KWA HUU NI MSIMU WA PASAKA NAYE AMERUDI TOKA HUKO ALIKOKUWA NA AMETULETEA ZAWADI YA MINENGUO MIPYA.
ReplyDeletehii habari ya summer na winter mnatuzengua tu.....hatuna hayo majira.
ReplyDeleteUnapiga pamba tu bora look. Infwakti sisi wapenzi wa hiyo shoo ndo tunataka hizo outfit kama hizo.
Naomba kuchangia
JAMANI EEEEEE....naomba niwaste all of you straight!
ReplyDeleteMbona watanzania tunasahau etiquettes???
Huyu dada ni msanii! and for your information, msanii anaruhusiwa kufanya na kuvaa lolote akiwa kwene maisha yake especially kazini kwake.
After all she is on a show!
Mboana britney akivaa hatusemi au kwavile ye mweupe tunadhani hawezi kua mshamba.
huu sio ushamba ni usanii jamani. ila nyie mkivaa utakua ushamba!
Eheehee!
ReplyDeletekweli wabongo ni wabongo hata waishi pangoni.
We unamsema mtu amevaa boots za summer za summer umemnunulia weweee!
Do not blame her walaumu wanaoleta viatu tz while wanajua hii ni nchi ya joto.
Kumbuka kila mtu ana vitu ambavyo anavipenda sio ushamba.
amependa boot ipo tz acha anunue avae its her.
Amevaa hiyo boot sababu hapati nayo shida angepata shida angevua.
Acheni kuosha vinywa kiajabu ajabu.
Kungekuwa kuna kitu kibaya nafikiri kisingetengenezwa.
Kila mtu ana vitu vyake anavyovipenda.
Ukiona mtu amevaa nguo mbaya ameipenda na ameridhika. wewe unajiona uko compleeete.
acheni tabia za kusema watu kueni na tabia nzuri kdg kama mimi.
Shuwainiii
Watu bwana kwa ushamba. Kuna mijitu hapa inajifanya ati kuandika broken english ya wanugu huku Marekani, mwenyewe anajiona mjanja eti. Wenyewe black americans wana admit kwamba kingereza chao kibovu, lakini kuna mijitu hapa inaona bonge la ujanja kuandika utumbo kama huo.
ReplyDeleteJamani eeeeeh!Haya maneno ya Britney Spears naomba yaishie hapa kwani hamjui kama Britney ni mental case hata mnaanza kumfananisha na Aisha,au mna maana Aisha nae apelekwe Milembe.Haaaaaaaaaaaaaaaaa,samahani nilikua nacheka.
ReplyDeletethe poor girl is being destroyed by drugs.friends help her
ReplyDeleteTHE REASON NILISEMA BRITNEY SPEARS ANAVAA HIZO BOOTS WAKATI WA SUMMER IS BECAUSE AMEDATA. mtu na akili zake timamu havai vitu kama hivyo in summer time....kuweni mnaiga mavazi yanayoendana na season. halafu nilikuwa nacheka kweli eti mtu mnajitayarisha kwenda kariakoo hadi avae mchuchumio, na wanja mwiiiingi. wakati siye wabeba box tukienda shopping tunavaa casual....nyie ulimbukeni wa bongo ulinishinda mwenzenu! i don't know about yall!
ReplyDeleteDada aisha hata mlivyokuja uk mlikuja wakati wa summer tulifikisha ujumbe hizo boots zinavaliwa winter kumbe ndoo ukaenda kuvalia hata bongo ama siku hizi bongo kuna winter, sio fashion kuvaa boots hizo ni kwa ajili ya baridi,wakati wa summer hata madukani hazipatikani, jamani tuelimishaneni sio kusagiana, sio aisha tu hata watu wengine wanavaa huko bongo nimewanona
ReplyDeletejamani yeye ni msanii. acheni majineno mna pair 50 acha uongo ...mimi sifagilii watu wanaojiona wanajua kumbe maneno kwenye keyboard tu...Hey hata hapa USA ukienda kwenye club summer times wamevaa boots jukwaani mbona hamsemi...hao strippers kila siku wanazo mbona hamsemi au hamtoki...?????....mwacheni anengue na boots zake kama zako 50 pairs umeweka ndani that is your business....
ReplyDeleteMimi nampa tano huyo aliyesema acheki moyo wake. Kujaa maji miguu is not good...Kwanza ajitahidi kupunguza uzito kidogo then more check ups muhimu ....
Kavaa buti na tights! Anaficha nini?
ReplyDeleteMaskini Aisha alikuwaga mzuri lakini sasa amenenepa sana, au dawa??
ReplyDeleteHivi nyi wajinga simply coz mko mamtoni mnajidai kusahau kwenu? hatuna hizo summer na winter zenu, hali ya hewa yetu tumeizoea. So hata huku kuna kipindi sisi wenyewe tunahisi kina baridi hata kama nyinyi hamhisi hivyo mkija.
ReplyDeleteMnapata shida simply coz mmezoea hali ya hewa ya huko kwenu(kwani huku si kwenu tena) ila sisi tunaokaa huku hazitusumbui kama vile jinsi na nyinyi kuna kipindi mnavaa haziwasumbui.
I thot since mmeenda huko ma-ulaya mavichwa yenu yangefunguka na kunotice the difference.