mdau deedah wa mwembetanga, unguja, katuletea hii tuone bidhaa mbalimbali zitokanazo na mnazi, ukiondoa nazi za kupikia na madafu ya kunywa na kutafuna pamoja na 'roho' ya mnazi ambayo nayo yaliwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Cjaona bidhaa yangu kile kinywaji ukikipata inabidi ufungu suruali kwa chini.

    ReplyDelete
  2. Nakubaliana na Mbasa 100%!Utawekaje bidhaa zitokanazo na mnazi bila kuweka bidhaa yenyewe orijino...pombe ya mnazi?Hayo mavinyago yana faida gani? Just kiddin jamani kweli inapendeza!

    ReplyDelete
  3. Jamani hizo bidhaa zikifanyiwa Promosheni hakika zina soko na zitawainua kimapato ndugu zetu wa ishio mwambao wa Pwani pamoja na huko Unguja.Wa kufanya Marketing yuko wapi pale TTB?Watu wako Bize kutafuta Mshiko wa Dallaz!Vitu hivyo viwekwe karibu na Mahoteli ya Kitalii.Tusiwalazimishe Watalii wavifuate mafichoni ambako hawapajui!Watakao wezesha hilo lifanyike ni nyie Tanzania Tourist Board pamoja na HomeCraft.Visitozwe VAT,maana hamna haya nyie hata mavi ya ng'ombe yatatozwa ushuru wa forodha!Zikishakusanywa zote atalipwa DOWANS tusikose umeme,mwe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...