madada wa bricks and lace wakifanya mavituzz yao kwenye fainali za bongo star search

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Hahahaha hawa mbona washamba toka lini wakaingia na skuna ulingoni au wameanza juzi kuimba maana hata hawaeleki kabisa.

    ReplyDelete
  2. Michu tuambie nani kashinda Bongo Star Search?

    ReplyDelete
  3. DUH,MASHAAALAH!
    KAMA MADEMU WA KIBONGO WANGEKUA WAZURI HIVI,NINGEKUA NIMEOA BY NOW!

    ReplyDelete
  4. byshoo,i love u bebii,ze bebii to zee saa...
    malizia

    ReplyDelete
  5. Michuzi,
    Hii picha ya kina dada inaonyesha kuwa msanii maarufu siyo mpaka uvae vinguo viduchu.
    Ukiwa hodari ktk fani yako watu watakufagilia tu.

    ReplyDelete
  6. WADADA WANAJITUMA SI MCHEZO MTAKUWA MME ENJOY SANA...
    PATA KITU CHAO HAPO
    http://youtube.com/watch?v=SuDVU8IbbsY

    ReplyDelete
  7. samahani ila mdau wa kwanza hapo we ndo kichekesho kweli hahaaaaaaaaaaa
    ulitaka waingie peku??? embu toa koments za maana kama huna kaa kimya!!

    ReplyDelete
  8. Mdau wa kwanza ulitaka wavae training shoes nini? Kwani wanacheza tennis hapo au wako kwenye stage? Oops sorry walitakiwa wavae zile boots za winter wanazavaaga dada zetu wakati wakiimba stegini, (chini boots za winter juu vikamba vya summer si ndio eti) Kweli mazoea yana tabu.

    ReplyDelete
  9. We Anon wa hapo juu huna haya. Basi mademu wa kibongo wazuri kushinda hao apo juu. Hao wamejaa full mack-make up na wabongo wengi natural...Kama ujaoa sema una lako jambo au weye mbaya umeachwa solemba. Hao mademu ni wajamaica, wali sign contract na Zomba records wakatoa nyimbo ikagoma kupata radio play wakawa dropped. So they'r NOBODY.. Anon wa kwanza hizo sio skuna nenda na fashion mama hivo vinaitwa high heels na hizo boots ni short boots. Au na wewe tomboy kama yule judge anae itwa salama sijui salome.

    ReplyDelete
  10. yule wa kushoto kashika mic zote mbili ?!

    ReplyDelete
  11. mdau wa kwanza anatia aibu,ulitaka waingie ukumbini na kandambili au?umeambia wanaenda uwani?
    mswahili bwana!

    ReplyDelete
  12. Hawa waliambiwa wavae mavazi ya heshima katika show ya Bongo Star Search kwa kuwa ilikua inarushwa laivu kwa Watanzania wote.

    Kisha wakamwaga radhi Cine Club. Huko ilikuwa ni vichupi na mauno ya kufa mtu kama ilivyotarajiwa.

    ReplyDelete
  13. wamependeza sana,wanaimba vizur mwanamziki sio mpaka uvae half naked au chain kubwa etc ndo kwamba unaburudisha watu,tuache kasumba wanamziki wa bongo tunaiga iga utamaduni wa kimagharibi sana,nawafagilia sana wanamziki wa south africa wengi wao wanavaa kiheshima na wanapenda uhalisia wao wa kiafrika pia mziki wao unakubalika sana.

    ReplyDelete
  14. issa rafiki yangu, this was my first tiem toa ttend a concert in Bongo, am telling u bora bora uanze kucheka kabla sijamalizia...........tumefika pale mlangoni, past midnight tukalipishwa 30,000 each tulikua 3 of us,sasa (wacha nicheke tena)tulivyokua tunaingia watu walikua wanatoka, tukiulizia tukaambia concert imeisha. Sasa jamani huu si ujambazi halisi lakini??!!is this the way to make money??HAIPENDEZI.

    ReplyDelete
  15. nyie mnao wapaka hawa madada hamjui mambo...hawa madada ...wanakuja kwa kasi ktk Billboard charts...pia ni kweli wanaheshima zao ...they dont dress "skanky" na kujimwaga hovyo kama lile li-demu Beyonce.

    ReplyDelete
  16. we ulieingia concert ukakuta watu wanatoka kwani hukuskia concert inaanza sa ngapi we unaenda midnight??? chizi kweli.

    ReplyDelete
  17. we annony monday 12:31:00, march 31, hakika we ndo tukucheke, we hukuckia muda wa kuanza kwa onyesho nini? so kama hukusikiliza hilo ni tatizo lako,acha kulaumu watu hapa, alah!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...