1BWAWA LAMAINI HUWASIRIASKWENYE MAKOMBEYA MAANA:SIOYA MBHUZI::::

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mmmh Braza Michu!yaani ushaanza kuchonga kama jamaa zako wa Emireti?eti ooh nyie watu wa makombe makubwa na sio ya mbuzi naona kile kipigo cha FA Cup 5th round toka kwa underdogs Barnsley bado kinakuuma ndio unaleta madharau ya kombe la mbuzi wakati FA Cup ni kongwe zaidi ya hayo makombe makubwa?ila halahala usijekutana na mtani wa jadi Man.U

    ReplyDelete
  2. Nyie Bwawa la maini hayo yanatoka baada ya kuwatoa Inter! Mlikuwa wapi kuyaongelea siku zote??? Halafu, kama msingetolewa na may be kutwaa hayo makombe mliyotolewa, mngeyaita ya Mbuzi??

    ReplyDelete
  3. Kama makombe mengine ni mbuzi huwa mnayachezea nini mwaka mzima ? ? ? ? ?

    ReplyDelete
  4. Huyo aliyeandika hapo juu anajifunza kiswahili au ni vipi?

    ReplyDelete
  5. KAJIFUNZE KWANZA KISWAHILI NDIO UJE U-POST COMMENT,

    WATU TUMEONA DIMBWI LA FIGO,

    ITAKUWA BWAWA LA MAINI

    ReplyDelete
  6. MICHU KWA MBINU YENU HIYO YA KUPUNGUZA WACHEZAJI MTAFIKA MBALI.mNACHEZA 11 AGAINST 10 HONGERENI SIJUI HATA KWA mAN Un NAYE MTAFANYA HIVO.

    ReplyDelete
  7. MICHUZI ACHA LONOGOLONGO WEE BWAWA LA MAINI HAINA CHOCHOTE ACHA MJE MCHARAZWE NA WANA-CATALANS PALE MJINA barca....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...