Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Duh aminia braza Michu!kumbe hawa jamaa wazee wa Indege wamejikita huko Bonn!?Naona uko na Bizzman!
    Then,hongereni sana watani zetu wa jadi Bwawa la Maini kwa kuwatoa Internazional Milan na kuungana na vigogo wengine wa England ktk robo fainali i wish tukutane na nyie watani zetu wa jadi Man.U vs bwawa la maini.

    ReplyDelete
  2. Kaka karibu London haa kumbe una schengen duh upiti kaka sorry kama ukuacha vidole bongo uingii IoI kwanza tuna stoms soo.

    ReplyDelete
  3. Naona T-shirt yetu ya Blogu ya jamii imerudi..

    ReplyDelete
  4. Michuzi jina lako limo kwenye wafisadi(DOT)watafuatilia Account yako. Unatutesa sana Nina miaka 11 nabeba Mabox nauli ya kutembea kwetu inanishinda

    ReplyDelete
  5. Michuzi sikuwezi.
    Yaani hilo fulana lako la kuchanjia la ngazingazi hukukubali mpaka umetinga nalo huko Bonn!
    Kweli si bure. Hili Fulana limezindikwa kule NGENDE

    ReplyDelete
  6. Duh! Bro Michu, the fulanaz mpaka Bonn? Basi pata mbili tatu za huko utuletee wadau....kumbe ndio maana ulikuwa hupost kwa ile kasi yako, kumbe mzee uko mamtoni, uwe unaaga michu hatutakuloga...

    ReplyDelete
  7. Manka story could be fiction or true it does not matter.

    Maoni yangu ni kwamba ipo haja ya kuweka blog ya dating kwa watanzania tu.

    Usiri wa watanzania una ua wengi kwa mengi believe me!.

    It is high time vijana wakitanzania wachangamke.

    ReplyDelete
  8. ...Naona uko na Roy Fiquerido hapo.
    Nawakumbuka yeye na kaka yake Endrico na dada yao Vero, wakati tukicheza cha ndimu pale mitaa ya Keko NHC miaka ya 1971/73 na akina Chris na Ivor De Mello, Jacob, Jully, Nkrumah Mkandawire na Mdogo wake Moses aliyekuja kudakia Simba miaka ya baadaye.

    ReplyDelete
  9. Mm..Michuzi hiyo t-shirt...everywhere and every other day!lol

    ReplyDelete
  10. Am calling upon the public for an emergency campaign to help Michuzi get another t-shirt...i think its about time the blue tshirt gets a replacement.

    ReplyDelete
  11. Oyaa bizman mara ya mwisho wajerumani walikusamehe, acha kututia aibu kwa kuiba CD madukana ushamba wa kigoma huo shenx

    ReplyDelete
  12. Mbona RAS POMPI simuoni hapo?
    Au wamemuacha hakwenda huko Ujerumani?

    ReplyDelete
  13. Michuzi naomba uniletee chupi ya ulaya jamani..nitafurahi sana

    ReplyDelete
  14. Nakubaliana na annon wa wednesday March 12,2008.11.09.
    Ni kweli kuna haja ya kuwa na website ya dating kwa watanzania tu,hii imejionnyesha wazi kuwa dada Manka amegusa haswaa pale ambapo ni kero la wengi,si umeona maoni yamefikia 200.
    Mdau US.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...