msanii yvonne chakachaka toka bondeni yupo bongo kutoa tafu ya uzinduzi wa albamu ya injili ya kundi la kitimtim mchana huu ukumbi wa diamond jubilee hall. mwanamuziki huyu sasa ni mlokole na anaimba nyimbo za injili kwa mafanikio makubwa sana huko sauzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Karibu sana tanzania..na pia tunasubiri mchango wako kwa wanamuziki wetu wa kitanzania...najua wewe ni muimbaji mzuri sana..
    kyekue
    bwana yesu apewe sifa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...