mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm kupitia moshi mjini mh. aggrey marealle (shoto) akiwa na kiongozi wa bendi ya msondo ngoma, muhidin maalim gurumo na msanii wanne star kwenye mkutano na waandishi leo kuelezea harambee ya kusaidia uhai wa ccm moshi mjini itayofanyika ukumbi wa traveltine, magomeni, dar, siku ya jumamosi april 5, 2008 ambapo mgeni rasmi atakuwa waziri wa miundombinu mh. andrew chenge. pia mawaziri wote wamealikwa pamoja na uongozi wa ccm taifa na wakereketwa wote wamealikwa. bendi ya msondo ngoma na kundi la wanne star watatoa burudani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Du! nategemea cku za usoni utasikia Mh Mareale yupo mjengoni anatoa hoja, hiyo harambee siyo bure...haya Agrey tupo pamoja

    ReplyDelete
  2. Michu, sio fresh kunibania mdau comment niliyo ituma. Jamaa anajiandalia jimbo

    ReplyDelete
  3. Kura tutakupata kaka na kampeni tutafanya usiku na mchana wacha wanga waseme kwani midogo hawailipii kodi ni yao. Kamua kaka Kampeni shurti kuanza mapema

    ReplyDelete
  4. ..na hapo waunganishe na harambee ya kupanda miti mlima kilimanjaro..save the mountain!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...