""Actors have to act. Stars dont need to...." huyo aliyemwaga ung'eng'e sio mimi wadau, ni anti lucy kihwele wa multi choice aliyetuletea hii kuonesha kwamba mikonozz ipo kila sehemu duniani. huyo ni wycleaf jean na masupamodo katika baadhi ya dondoo za dstv mwezi huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi hata utuwekee picha gani hatukubali mikonoozz yako.Hiyo siyo excuse ya kukufanya uendelee kukumbatia mademu.

    "Just 'cause she dance go go,it dont make her or no!!!....

    ReplyDelete
  2. Duu huyu jamaa kama Musasira au mwanae nini? maana hiyo mindevu kama muhogo mchungu

    ReplyDelete
  3. Kaka michuzi hao si masupamodo,bali pia ni waigizaji (actress).Huyo hapo kushoto anaitwa Kerry Washington na wa hapo kulia anaitwa Sophia Bush.

    ReplyDelete
  4. Alah, mi nilifkiri Muhogo Mchungu

    ReplyDelete
  5. Wyclef thamani nimemshushia. Alikuja chuoni kwetu miaka kadhaa iliyopita akaendekeza uroda na binti wa mwaka wa kwanza. Ngozi nyeusi na sisi tumezidi.

    ReplyDelete
  6. huyo kerry amefanana sana na klynn ntuyabaliwe nadhani atakuwa cousin wake.lol

    ReplyDelete
  7. Muhogo mchungu ! HAHA! KWELI, DUNIANI WAWILI WAWILI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...