kuna kila dalili tunaliza mtu leo kwao. fundi kanambia sasa hivi kwamba hadi haftaimu 3-0...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. Pole sana mtu wangu. hadi half time mambo yakoje? Broooooooown

    ReplyDelete
  2. Pole misupu, mpaka sasa hivi halftime, 1 nil to man u, na mwagentina wenu kapigwa card nyekundu.

    ReplyDelete
  3. Bwana michuzi acha kutuzuga, mpaka half time Man 1 Maini 0 tena maini wamezawadiwa kadi nyekundu kwa utovu wa nidhamu wa Javier Mascherano

    ReplyDelete
  4. mpaka muda huu ni half time na liverpool wako nyuma kwa bao 1.Inaelekea mganga wako ametabiri mechi ya mwakani.

    ReplyDelete
  5. kaka michu! huyo fundi inaonekana hata kazi yake huwa haifanyi ipasavyo....bwawa la maini mpaka half time walikuwa wameshalalwa Goli moja! muombe mungu yule jamaa anaeamuaga kucheza mwenyewe pindi jahazi likizama(Steve G) afanye shughuli zake....na pia tayari yule jamaa wa argentina(firewall yenu) imeshapigwa red card....kwa hiyo kaka tahadhari, ficha jezi mpaka goli likomboke..otherwise ule ugali mtamu uliokuwa unakula wakati unasubiri mechi utageuka nyongo tumboni....na kwa wale wapenzi wa mashetani wekundu..tuombe libaki goli hili hili na pia chelsea vs arsenal watoke draw!......God bless Man u.

    ReplyDelete
  6. pole sana kijana..maana mpaka sasa navyofatilia mpambano ushalizwa 1-0

    ReplyDelete
  7. Na kweli 3 bila hujaongopa.

    ReplyDelete
  8. Kaka Michu,

    Huyo fundi wako aliyekuambia leo 3-0, ulimuuliza kwa upande gani? wa Bwawa la Maini au Man.U? Manake naona maji yanazidi unga, Bwawa halifiki nusu uwanja, mpira unarudi golini.

    Hii ni LAZIMA uitoe, la sivyo utamjua leo "nani" ni "NANI".

    ReplyDelete
  9. Michuzi ulijuaje kama goli ni tatu, hiyo ni Manutd a.k.a The Religion!

    ReplyDelete
  10. Kweli fundi alikupa matokeo vice versa.
    125th street,Harlem.

    ReplyDelete
  11. eti Torres..........hahahha,
    Fundi, Fundi kitu gani ....THAT BOY RONALDOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  12. michuzi vipi? mi sikujua kama unaweza kuwa mtabiri namna hiyo. that was a very good predictions, congrats

    ReplyDelete
  13. KAKA MICHUZI,NAONA FUNDI WAKO ALIANGALIA RAMLI YAKE KWA MAKENGEZA,MAANA ALIKWAMBIA MABAO YA MANCHESTER!POLE SAAAANA KAKA!

    ReplyDelete
  14. bwawa la maini limekuwa bwawa la utumbo

    ReplyDelete
  15. Kumbe wewe misupu ni mganganga wa kienyeji ulijuwaje kama utapigwa bao tatu bila?nakuomba uende kwa shekh Yahya Hussen labda utakuwa msaidizi wake kutabiri mambo yanayokuja mbeleni...Manutd ni moto wa kuotea mbali wale sio Inter milan.

    ReplyDelete
  16. Michuzi ni kweli kwamba mpira umekwisha na matokeo ni 3-0 kama fundi wako alivyotabiri.. hivi hakukwambia kuna ni Man U ndio watafunga 3?

    ReplyDelete
  17. Bro Misupu Huyo Fundi Wako Kakupiga Za Kichwa,Ngoma ni 1-0 Hadi HalfTime Na Mascherano Nje

    ReplyDelete
  18. Ni kweli fundi alitabiri magoli 3-0 ila nadhani hukuwa umemsikiliza vizuri yeye alisema 3-0 in favor of Man U.

    ReplyDelete
  19. live-pouwaaaaaaaaaaa,mdebedo,hahhaaaa,tatu mtungi mazeeeeee hamna kiwango pamoja na kutolewa sijui mascherano,mi siji ple sana brother,kujisifia kwingi sana duh,

    ReplyDelete
  20. Ni kweli Bro Michu utabiri wa mganga wako 3-0. Muulize pia siku yako ya kufa ni lini????

    ReplyDelete
  21. Bro Michuzi,

    Pole sana, hukumuelewa Fundi. Hakumaanisha Bwawa la Maini alimaaisha wale wengine.!!

    ReplyDelete
  22. WILL WHERE ARE UUU UJE UCHUKUE ZAWADI YAKO SI MCHEZO MAN MMEAMUA MSIMU HUU DU MMEWATIA AIBU BWAWAAA ILE MBAYA ATA KAHURUMA KIDOGO MAN OYEEEE MICHUZI EASTER IMEKUWA MBAYA EHEEE TAKE IT EASY WANGU

    ReplyDelete
  23. sasa michuzi vipi ule ugali wa break point, utaula kweli leo? man utd hawataki lawama eti kaka, na wala hawataki ushindi wa kubahatisha, shauri yenu na hasira zenu!!!

    ReplyDelete
  24. Torres anacheza kwa walinzi wengine sio Fernand na Vidic.Leo afadhali hata ya Emanuel Tenende wa enzi hizo wa Pan.Michuzi utapata presha bure siku ya Man jinyamazie au safiri kwani kufungwa ni lazima.

    ReplyDelete
  25. Pole sana Braza Michu na wadau wote wa Bwawa La Maini,kwa maana niliwaambia jana kuwa ndani ya OT hamtoki kamwe,nyie ni kuku wetu tuu kama inavyoonekana kwny ngao ya Timu yenu kama mmeichunguza vizuri,kwhy sisi huwa tunawasubiri mkirudi bandani tu jioni tunawakamata kuilainiii,na msimu huu tumewapiga nje ndani(Home & Away)Kudadadeki nyie watoto tu kwa Man.U na Mtoto yake nepi!Torres alivyishwa blanketi leo akatulia kama mwali!Ronaldo nadhani mlimuona.

    ReplyDelete
  26. Ni kweli huyo mjuzi wako alikwambia kweli kwani 3-0 ni kuwa mwenyeji 3 mgeni 0. hukukosea kabisa. hongera kwa utabiri mzuri. tuambie na Aseno na Chesii itakuwaje?

    ReplyDelete
  27. E bwana nyie bwawa la utumbo mnatupotezea muda tu na ingekua vizuri kama tungecheza na nyie kila wiki, next time tutawawekea watoto wa chini ya miaka 17 mcheze nao, mjitahidi tukutane Moscow hapo may ili mtupe kombe tunalolitaka.

    ReplyDelete
  28. Ha ha ha haaa!! Fundi huyo mwambie akutabirie tu kuhusu the Fulanazz basi ndiyo mwisho wake lakini uwanjani tena huku majuu aache kabisa.Kumbe ndiye huyo fundi aliyekupa kale kafulana.Sasa Michuzi tuache utani na mimi basi nipatie namaba za huyo fundi maana namind sana mabo hayo bwana.

    ReplyDelete
  29. yani bwana misupu fundi wako aliangalia kinyumenyume,maana aliyosema yatakua kwa bwawa la maini yamekua kwa mani yuu so next time itakubidi ubadilishe atakavyosema inaonekana ana makengeza,pole kaka ndio gem sio

    ReplyDelete
  30. Misupu Wewe Unawawangia Liverpua Umeenda Kibaigwa Baadala Ya Kusema Liver Ishinde Ukasema Ishindwe hehehe Na Mganga Akakuuliza Kama Unacho chochote cha Liver Masikini Ukatoa Jersey hihihi Babu Akafanyia Mambo Sasa Tumekupa 3... SASA NAOMBA KAKA MISUPU UJIBU KWA WANA BLOG WOOOOOTE NANI ZAIDI KAT YA RONALDO NA TORRES YAANI UJIBU NA PICHA ZAO UTOE.. MAN UTD FOR LOVE N LIFE

    ReplyDelete
  31. POLE CHUZI!!

    ReplyDelete
  32. KAKA MICHUZI POLE SANA.KUMBE UFISADI HAUKO TU TANZANIA HATA U.K.UNAJUA YUKE REFEREE NI FISADI MKUBWA KULIKO BALALI? MIMI NI MPENZI MKUBWA SANA WA ARSENAL BUT ILE MECHI YA JANA IMENIUMA SANA JINSI REFA ALIVYOCHEZESHA.KAMPA KADI NYEKUNDU JAVIER MASCHERANO WAKATI DOGO NDIO ROHO YA TIMU SASA HIVI HALAFU BILA KOSA LOLOTE KWANI DOGO INASEMEKANA HAKUMWAMBIA REFA MANENO MACHAFU BALI ALIKUWA ANAMUULIZA KWA NINI KAMPA KADI YA NJANO MWENZAKE.KILA ANAYEJUA MPIRA VIZURI ANAJUA MASCHERANO ANAVYOPIGA MPIRA MZURI SASA HIVI HATA CHAMPIONS LEAGUE NDIO SUPERPLAYER WA LIVERPOLLL SASA KUMTOA NNJE TENA BILA KOSA KAWAARIBU KISAIKOLOJIA SANA WACHEZAJI WA LIVERPOLL WAKAWA WANAJIISI KUONEWA SANA NA HAPO NDIO WAKAANZA KUCHEZA BILA MOYO.HUYU REFA AFUNGIWE TU KWANI KANIKUMBUSHA FAINALI YETU SISI ARSENAL NA BARCELONA MWAKA 2006 REFA KATUTOLEA KIPA WETU KWA RED KADI DAKIKA ZA MWANZO KABISA MPAKA TYUKAPOTEZA ULE MCHEZO.POLE SANA KAKA MICHUZI ILA NAAMINI MATOKEO YASINGEKUWA YALE.

    MDAU,ENGINEER MWANDUPE WA INDIA.

    ReplyDelete
  33. MKUKI KWA MBUZI KATOLIKI ...SIJASIKIA MTU YOYOTE ASEME LIVERPOOL ALIPNDELEWA MATCH ZOTE MBILI NA INTER MILAN KWA NYEKUNDU ZA MATCH ZOTE MBILI. MARA YA MWISHO LINI LIVERPOOL MLIIFUNGA MAN UTD???? ACHENI KELELE WAHINDI TU NYIE

    ReplyDelete
  34. PS; SAMAHANI WADAU KWA KUTABIRI VINGINEVYO.
    KULINGANA NA MTABIRI WANGU, YEYE ALINIELEZA KUWA TIMU ITAKAYOVAA JEZI NYEKUNDU NDIYO ITASHINDA MABAO 3-0.
    KWA VILE SIKUFIRI HARAKA KWAMBA LIVERPOOL HUVAA JEZI NYEUPE AU NJANO WANAPOCHEZA NA TIMU MWENYEJI UGENINI, NIKADHANI NDIYO TUMEULAMBA.
    NILISAHAU KABISA KAMA MAN U NDIYO WATAKAOVAA JEZI NYEKUNDU. KWA KAWAIDA MGANGA HUYU HUWA HAKOSEI KILA ANAPOTABIRI. NI MIMI MWENYEWE TU NILIKURUPUKA NA KUJUA YEESSSS, TUMEULAMBA 3-0. KUNRADHI WANA BWAWA LA MAINI NWENZANGU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...