Hi Bro Michuzi!

Hongera sana kwa ushindi mzuri Bwawa la maini, nimefurahi sana kwa kuwatoa hawa jamaa wa Inter, maana huwa wanatamba sana hapa Italy, hasa mwaka huu walikuwa wakisema wangeshinda Ligi ya hapa na ya Ulaya, wanajidai dai tu. Sasa yapo wapi?
Safi sana Bwawa la maini mmetusaidia sana sisi wa MILAN hongereni sana!

Mdau
B.F.CHIBIRITI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. EHEEEEEEEEE CHIBIRITI UNATAFUTWA SANA BWANA TUMEKUTAFUTIA MKE MANKA HAPO NYUMBA YA PILI VIPI SASA

    ReplyDelete
  2. Hello Chibiriti

    umempata Manka Mushi, jitose mzee chombo ndio hicho, au tayari unae wako wa ubani? Wadau wamekupendekeza

    ReplyDelete
  3. tunaomba chibirity awekwe kwenye bongo celebrity blog

    ReplyDelete
  4. Michuzi kwa heshima yako, tafadhali tupatie fursa ya kufikisha ujumbe kwa Bw Chibiliti, tunahitaji kuzungumzia maswala ya soka ya Italia kama muda unamruhusu.Atuandikie kupitia, swahili@bbc.co.uk

    Wadau BBC

    ReplyDelete
  5. Hii ilikua mail special kwa ajili ya Michuzi lakini Michuzi alivyo chochezi kaitundika wabwiya vumbi walete zao,Mithupu huyu bwana kashakua Bongo celebrity madongo hayampati tena.

    ReplyDelete
  6. hahahaha huwa nacheka sana kuona CHIBIRITI akileta vimbwenga vyake,
    huyu ndo michu's celebrity number 1 akifuatiwa na MANKA ambaye baadae ndo wataoana, lol

    ReplyDelete
  7. nampenda sana chibiriti, katoka mbali eti,mtwara hadi ufaransa si mchezo!! ni kijana shujaa, halafu ni kweli points zote alizozitaka manka anazo, labda namba ya viatu tuu!
    bwawa la maini hoye!! chibiriti hoye!!

    ReplyDelete
  8. Huyu sio chibatari manake chibatari angetuwekea na picha ya san siro juu.loool

    ReplyDelete
  9. Mi nafikiri unawashukuru wana blog kwa ujio wa Manka moyoni mwako...

    ReplyDelete
  10. ebwana ulikuwa wapi wewe au ile computer ilikuwa kwa fundi?umeadimika kama osama??ebwana umeona chombo Manka?mimi nadhani mnafaana sana na ingawa huvai kiatu namba 9 hizo sifa zingine unazo...chukua kitu..tuma c.v fasta au vipi mkuu??

    ReplyDelete
  11. Mimi china la kuchema kwa Chibiriti wa Chibatari,ndiyo kuchema kweli humpendi Manka.Ama bado ka CHIVI hakajapanda, malija chule uludi ,mchumba yupo Manka.Pocha tuchaanja kujipeleka.

    ReplyDelete
  12. hureeeeeeeeeeee, chibiriti tena na ule urfu lazima uwe na namba tisa wewe kamata dmu huyo ila na kale ka PC kako chaga atakutosa kaka jaribu bahati yako

    ReplyDelete
  13. Mankaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  14. ..Hellow Bro Chibe aminia mke tayari umeishapata,ana kila kitu,yeye anachohitaji ni kukumiliki tu mzee Chibe.Kama tayari una "makaratasi" huko milan fanya mpango wa deforce chap chap maana Manka hatakiwa contaminations.
    Wow Bro Chibe..!

    ReplyDelete
  15. Chibiriti 'njomba' kila nikiona jina lako naangua kicheko hata kabla sijasoma comment. Kwakweli I gotta give it up to you maana umenangwa wee! hatimaye sasa umekuwa Star.Hongera sana mwanawane

    ReplyDelete
  16. Big up Chibiriti bora umeshow up mana we where badly looking for you. sasa mchumba ndio huyo.......Manka Mushy. najua mtamatch sana.Manka usilaze damu, brother ndio huyo amejitokeza......sasa usilalamike tena huna bahati.

    ReplyDelete
  17. Aisee ulikua wapi mshikaji??

    Aisee tumekutafuta sana mzee,

    Kuna kadem flan kalijitokeza na masharti kibao kutafuta mume humu globuni,

    sasa kwa kura za wadau wakupendekeza mzee mzima ujitose,

    embu scroll down utapata email ya huyo dem then unasema nae kiaina,

    Usituangushe mkuu, tunakutegemea,


    Jamaa

    ReplyDelete
  18. wadau wana usongo na shibiriti, acha tu!

    kamata manka bwana atakufaa!

    ReplyDelete
  19. jamani hivi mnamuonaje Chibiriti?? mi sidhani kama Manka anadesevu kuwa na mwanaume kama Chiby: coz huyu bwana anaonekana yuko genuini, simpo,afu mbongo yaani. mankia wetu huyu matawi ya juu, selectivu nanini, atalalia kile kitanda au ile computer mnaikumbuka? kweli ataifuta hata vumbi?? tehe tehe tehe .... chibiriti naomba email yako bro!

    ReplyDelete
  20. Bro Michuzi,
    Ni kweli naungana na mdau hapo juu kuwa Chibiriti afanyiwe mpango apate nafasi ya mahojiano na Bongo Celebrity.
    Kwa kuwa wewe Michu ni alwataan wa vyombo vya habari, naomba uwafikishie ujumbe huu Bongo Celebrity wafanye hima kufanya mahojiano mdau Chibiriti.
    Nawasilisha.

    ReplyDelete
  21. Chibirity Ulikuwa wapi siku zote hizo???tulikumisi lakini umeniudhi leo umetuma salamu bila photo why???
    Sasa ni hivi najua ulikuwa bize...kuna mchumba Michuzi Kakutafutia anaitwa Manka ni mrembo wa nguvu pls usimtose!

    ReplyDelete
  22. Chibatari wa chibiriti, unatuangusha njomba, wewe unafuatilia hii blog na unafahamu fika kuwa wanablog wenzako wamekuteua ili ufanye mambo kwa dada Manka Mushi, badala yake eti unatuma salamu za pongezi kwa bwawa la maini. Njomba, ingiza majeshi maana dada Manka amechoshwa na upweke na anahitaji kiatu size 9 kwa udi na uvumba. au mwenzetu umeshazoea 'kujichua'?

    ReplyDelete
  23. CHIBIRITI MKE HUYO HAHITAJI MAHARI WALA NINI YEYE ANATAKA NAMBA 9 TU KAMA NDIO SAIZI YAKO JITOSE BWANA...SISI TUPO KWA AJILI YAKO KUKIHITAJIKA MICHANGO USIJALI WANA BLOG WOOOOOOOOOOTE TUTATOA

    ReplyDelete
  24. jamani, mbona Manka kamzidi Chibiriti, mmeona story ya Manka ina comment ngapi jumla, linganisha na za chibiriti uone nani zaidi. Manka oyeeeeeeeeeeeee, kina mama oyeeeeeeeeeee, Manka umetutoa kimasomaso wenzio tulikuwa tunaogopa kutafuta wachumba tunaowataka. Hao wanaume wakitaka wanachagua kwa sifa wazatazo wao, mwanamke akichagua kosa. Jamani wanaume wa kitanzania kubalini kubadilika, hii ni millenium ya 2, karne ya sayansi na technologia na haki sawa kwa wote, wapi mamaaaa anna mkapa, Tunakumiss na EQUAL OPPORTUNITIES FOR ALL.

    ReplyDelete
  25. WADAU MMESAHAU KITU KIMOJA. CHIBIRITI NI MTU MAARUFU MACHO MENGI. MANKA HAPENDI MTU WA NAMNA HIYO.

    HALAFU NA KIATU HATUJUI.

    CHIBIRITI HEBU PIGA PICHA NAMBA YA KIATU CHAKO MANKA AONE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...