mambo yalikuwa mambo kwenye onesho la kci & jojo ukumbi wa movenpik. ukitaka mapicha mengine kibao nenda http://haki-hakingowi.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. KWA WATANZNIA WASIOKUWA NA UWELEO WA ALAMA ZA MIKONO WAELIMISHWE KWANI ALAMA ZA HAO WASANII WETU HAPO JUU ZINAWEZA KULETA MATATIZO KATIKA NCHI YETU NA MARAFIKI ZAKE UNAPOTOWA ALAMA KAMA HIZO ZINA MAANA NYINGI TUNAWEZA KUWAKASIRISHA WENGI DUNIANI UKIZINGATIA TUNAWAHITAJIA HAO TUTAKAO WAKASIRISHA

    ReplyDelete
  2. kaka michu yafaa uwe mwana sports mwenye uadilifu nashangaa leo hujatuwekea matokeo ya man vs bwawa vipi mambo haya haki iko wapi?mkuki kwa.....!!!ami j zenji.

    ReplyDelete
  3. Vimeshakua vikongwe tayari!!

    ReplyDelete
  4. Hawana mpango wowote wachovu hao. Watu wasingelipathat much to see 'oldies' Inatakiwa waje true Stars huko kama alivyokuja Jay Z sio rejects kuwaibia wadanganyika. Anyway not to be too critical ila hiyo bei ilinishangaza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...