wasanii klynn na nakaaya walitesa sana usiku wa shoo ya kci & jojo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. mmmmmmmmhhhh nakaaya nae yumo????
    yangu macho..

    ReplyDelete
  2. we all live in glass houses,you gotta be careful where you take you're shower!!!ni msemo wa wenzetu wa dunia ya kwanza!!hawa mabinti wanafanya nini exactly?do they even know what they're doing?

    ReplyDelete
  3. woow u girls rock

    ReplyDelete
  4. nakaaya ndani ya tibaigana style safi sana umependeza na klynn pia

    ReplyDelete
  5. mmmh...Nakaaya mi sijui hata nusemeje ila naomba unitafute tuongee zaidi email yangu ni j4@live.com.my tafadhali nakuomba bibie

    says me Chris

    ReplyDelete
  6. To answer anonymous of Wednesday, March 26, 2008 2:43:00 AM EAT - The two ladies are artists. Talented ones on that matter. Singing is part of their artistic way of expressing themselves and earn their bread. Why are we so fast in putting down sista/brothers who really work hard to get where they are!? Let's not be too fast to judge. Big up to the sistas for representing!

    ReplyDelete
  7. Acha hizo bwana,glass houses ndo nini?au wewe umeona cha ajabu nini hapo?Wabongo wengine mbona kazi zetu kuua tu? Umeona picha tu mtu yuko kwa stage basi na vimisemo vinaanza..Ulitaka wajue wanachokifanya kipi kigumu kueleweka hapo..We vipi mzee?

    ReplyDelete
  8. Dada kipaji unacho hongera kwa hilo ila hujanifurahisha na gauni fupi uliyovaa ingekuwa ndefu ungependeza zaidi. ushauri wa bure kwa wasanii wa kike mkivaa nguo zakufunika miili yenu vizuri mnapendeza sana kulikoni kuonyesha mapaja mara tumbo mmm hampendezi hata kidogo ndiyo kwanza wanawake tunazidi kudharauliwa ulisha ona mwanamme msanii wa mziki anaonyesha sehemu zake za mwili? mjirekebishe kwahilo

    ReplyDelete
  9. we all live in glass houses blahblah blah some pple are so annoy wewe mwenyewe apo ulipo hujui unafanya nini nonsense

    ReplyDelete
  10. misemo ya wenzetu misemo yawenzetu we yakwako lini? ebu kaa kimya kama huna chakukoment nakaya klyn piga kazi usijali waosha vinywa

    ReplyDelete
  11. Nimekubali kweli walipendeza ila Klynn alipendeza zaidi kwa kimini sidhani ni kwa kuimba kwa kuimba namkubali zaidi Nakaaya

    Katochi)

    ReplyDelete
  12. Mzee wa glass house, wewe unaishi wapi? Sisi tunaishi kwenye cement house. Kaa humo humo kwenye glass uendelee kuona kinachoendelea dunia badala ya kushiriki!

    ReplyDelete
  13. wasioelimika utawajua tuu,kazi porojo ilimradi aongee.

    ReplyDelete
  14. i love you jacky
    call me 0774 444777

    ReplyDelete
  15. gauni bay mwaya wee ulitupe kabisa.Tafuta kimini kingine.Na viatu tafuta vya waimbaji acha heels za ofisini.Sura bomba lakini mavazi jitaidini

    ReplyDelete
  16. Kazi zenu ni nzuri ongezeni bidii,k-lyn uko sex i wish one day .......!!!!!!!!????

    ReplyDelete
  17. huyo klnn mbona ananepeana namna hii. Ama ni picha?Hapa anaonekana kama kapaki 80lbs(paundi) kama sikosei huyu demu ndiyo keshavimbishwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...